MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #61
Michelle na Obama wameanza maisha miaka mingi kabla ya Obama hajaingia kwenye siasa. Ikulu wameingia baada ya kukaa muda mrefu kwenye ndoa.Itakuwa machache mno huyo ana wafanyakazi kibao hafui kama sie wao hapiki piki labda ajisikie labda kuhakikisha mmewe yupo sawa lakin mikazi mmmh