MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Dec 12, 2022 Thread starter #61 Dejane said: Itakuwa machache mno huyo ana wafanyakazi kibao hafui kama sie wao hapiki piki labda ajisikie labda kuhakikisha mmewe yupo sawa lakin mikazi mmmh Click to expand... Michelle na Obama wameanza maisha miaka mingi kabla ya Obama hajaingia kwenye siasa. Ikulu wameingia baada ya kukaa muda mrefu kwenye ndoa.
Dejane said: Itakuwa machache mno huyo ana wafanyakazi kibao hafui kama sie wao hapiki piki labda ajisikie labda kuhakikisha mmewe yupo sawa lakin mikazi mmmh Click to expand... Michelle na Obama wameanza maisha miaka mingi kabla ya Obama hajaingia kwenye siasa. Ikulu wameingia baada ya kukaa muda mrefu kwenye ndoa.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Dec 12, 2022 #62 MALCOM LUMUMBA said: Michelle na Obama wameanza maisha miaka mingi kabla ya Obama hajaingia kwenye siasa. Ikulu wameingia baada ya kukaa muda mrefu kwenye ndoa. Click to expand... Ni kweli
MALCOM LUMUMBA said: Michelle na Obama wameanza maisha miaka mingi kabla ya Obama hajaingia kwenye siasa. Ikulu wameingia baada ya kukaa muda mrefu kwenye ndoa. Click to expand... Ni kweli
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,204 Reaction score 8,315 Dec 12, 2022 #63 Ndoa hakunaga 50/50 kuna Mwanaume 30 Mwanamke 70.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 12, 2022 #64 MALCOM LUMUMBA said: Wewe Cocastic umezaa watoto wangapi mpaka sasa ? Click to expand... 4
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Dec 12, 2022 #65 Kila niki fikiria kuoa nasikilizaga wimbo wa Gabby Makula "Baba paroko" Nahairisha ndoa kabisa. Nachoka kabisa
Kila niki fikiria kuoa nasikilizaga wimbo wa Gabby Makula "Baba paroko" Nahairisha ndoa kabisa. Nachoka kabisa