Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

Baba G
Pond himself again
Mkuu hongera kwa kuonyesha ukomavu mbele ya dogo
Binti hawez kukutosa wala kumtosa mwamba hapa saizi wanabembelezana huko
Pia wwe kwake ni sponsor ndio mwenye kisu kikali 4 now
Wwe kama tuu muda utasema mkuu
Kiukweli Kijana yule anaonekana kuumia Sana,
Nadhan tayar alishajikabidhi vyote vya mwilini mwake Moyo,maini,figo firigisi na bandama kwa binti husika bila kujua binti mwnyw Ni fedhuli tu wengine mpk tumemfanya wa kupozea TU nyege zetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli bhana,
Mimi Kwnyw circle yangu nnao wanawake watatu TU.
Sijafikia hata robo ya nyayo za nabii suleimani au baba wa imani ibrahimu[emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asije akala kitanzi
Manake umri huo hauna reasoning kubwa
 
Nataman angepata kijana fedhuli na mjanja mjanja matoe tongotongo kua anakojikabidhi hapako kama anavofikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sana mpaka apigwe tukio kubwa
Sasa hapo wwe kakukuta at least huna papara angekula nakoz za kutosha mbele ya demu wake na aibu juu angebaki kotoa kamasi kama kondoo tuu
 
Kumwambia hapana .. wanaume nyie mna pride
Kwa nini usimpange huyu mchepuko mdogo ?

Usikute na yeye kafall in love kwako ndo maana hamuelewi huyo kijana [emoji23].
Sio kampenda pond,pond anatoa huduma,kijana inaonyesha hana pesa ya kutosha.wanawake wana tamaa hivyo anaona awe na pond ili maisha yawe nafuu.
Sema kakijana kapole,angekuta kijana mkorofi kingeeleweka. Mapenzi hayana mbabe.
 
Sio kampenda pond,pond anatoa huduma,kijana inaonyesha hata pesa ya kutosha.wanawake wana tamaa hivyo anaona awe na pond ili maisha yawe nafuu.
Sema kakijana kapole,angekuta kijana mkorofi kingeeleweka. Mapenzi hayana mbabe.
Kweli Mkuu
Pesa ni kitu kingine kabisa , akiangalia huyo jamaa hana pesa wala nini .. anamdharau .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…