Nani kashinda Mkuu?Usiwadharau Wajerumani.
Duuh!!
Na shida ya goli la kujifunga mara nyingi huwa halirudi. π€£π€£π€£
Mkuu hongera kwa update nzuriMpira Umekwishaaaaaa
France 1 Germany 0.
Alamsikii.
Hahahaa. LolHalafu huwa ni in all aspects! Hata vile viwanja vyetu vya ndani ππ
Uzur ni kuwa nimeweza fatilia kipindi cha pili humu kwako mkuuAsante japo sijafanya kwa ufanisi unaotakiwa bossi.
Absolutely MkuuCorrect kabisa.
Hata combination ya Benzema na Mbappe imekaa vizuri sana.