Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

Nani kashinda Mkuu?
Mechi iliisha jana.

IMG_20210616_070729.jpg
 
France ameshinda na Portugal ameshinda pia, hili kundi ni miongoni mwa Makundi magumu kwenye haya mashindano hadi sasa.

Ukiangalia namna timu zilivyocheza games zao za jana unaona timu mbili za France na Portugal zina nafasi ya kushinda. Ingawa kila timu naona ikiifunga timu dhaifu ya Hungary kwenye group lao.

All in all Ngolo Kante ameendelea kuonesha umuhimu mkubwa sana kwenye kiungo cha France hasa akiendelea kucheza na Paul Pogba
 
Back
Top Bottom