Mie nilijua Tundu Lissu yupo kwa VIP za sero

Nampongezi sana Lissu kwa kuwa na msimamo safi sana maana ningekua mm ningeshaenda Ccm upumbavu huu wa watanzania... mijitu km ma mbwa tu hayajitambui hata uyapiganie vp yanakukwamisha...
 
Lissu ni kibaka tu na hata kumuweka pamoja na waliohukumiwa kifo ni kumpendelea tu.
 
Huyu mama katili sana anadhani alivyomnyoosha Mbowe atafanikiwa kwa Lissu ,ndoto ya Mwendawazimu
 
magereza wana taratibu zao na stahiki za mahabusu msikilize tena lissu kazitaja, hilo la kukaa vip hakuna mahabusu vip
 
Nyakati hazizuiliki ningekua Rais ningemuacha kumshikilia ndo hatali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…