Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Utaongozaje nchi kwa hali hii.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba. Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Utaongozaje nchi kwa hali hii.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba. Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.
Nyingi zipi zitaje tukupe misimamo yao.nchi ziko nyingi
Ndio nasema kumaliza miezi 6 ni ngumu sana kwake anything can happen in between.Ungejua hata dola yenyewe imemkataa kilichobaki ni kigenge kidogo tu ambacho kimejimilikisha funguo za Nachingwea.
Muachieni padri afanye postmortem ya ndugu yake kwanza acheni hzo habar, Kwan mna shida gan mna force mambo?Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Huyo balozi mliyetaka kumhonga LNG kesho yake uliisikia nyundo ya Mkiti wa Foreign Relations.Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale u Dodoma. ande wetu inatosha
We unaongea nin!,wakat mpaka sasa kila kitu mmeuza au haupo tzHaya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Yaan wanaomsupport mama wote vichwa vyao vimejaa uji tu,yaan jamaa anayoyasema ni opp kabisaHuyo balozi mliyetaka kumhonga LNG kesho yake uliisikia nyundo ya Mkiti wa Foreign Relations.
Eti mnalinda maliasili my foot,
aliyeuza bandari ni GenZ, aliyehonga Loliondo ni GenZ
Eti anasema Samia analinda maliasili tunamuonea wivu.We unaongea nin!,wakat mpaka sasa kila kitu mmeuza au haupo tz
Mimi sikutarajia kama inchi inaweza kuvurugika sababu ya tamaa za mtu mmoja ambaye hataki kufwata haki ya raia wake,kiuhalisia hata Zimbabwe ilianza hivihivi,leo Zimbabwe panamaisha magumu hapafai raia zake tunao hapa South wanajiuza tu na maumbile yao yale makubwa kama tembo
Mbona mpumbavu sana?Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Hakuna cha kuipigania Tanzania hapa, mnapigania matumbo yenu tu. Rasilimali za nchi mnauza tu kiholela af unakuja kuandika uharo hapa. We uliona nchi inayojiita ya kidemokrasia serikali inateka na kuua wananchi?Haya tulijua yatatokea tangu hayati JPM alipopitisha sheria ya Tanzania kumiliki rasilimali zake mwaka 2017.
Hizo tabia za mataifa ya kizungu hazitutishi hata kidogo, balozi wao mdogo wa USA alikuja na kuonana na Samia pale ikulu Dodoma. Hao wamarekani wakiwa upande wetu inatosha sana kwetu.
Mnatumia nguvu za mataifa ya nje kutaka sisi tusalimu amri halafu tuziachie mali zetu kizembezembe, nyinyi hakuna kinachowauma mkiwa ndio madalali namba moja wa kuiza Tanzania kwa bei rahisi kwa hao mabwana zenu wa Ulaya kina European Union, andikeni maumivu.
Tutaipigania Tanzania kwa wivu mkubwa. Uchaguzi tulikwenda tukapiga kura, mnaosema haukufanyika ni wale wale mliokuja na kauli mbiu za 'No reform' miezi michache kabla ya uchaguzi na ndio mnaandika maandiko mengi mitandaoni.
Nchimbi anashida gani. Simuelewi elewiWananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha.
WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki.
Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia.
Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na Commonwealth zimepinga ushindi wake.
Nchi zenye uwezo kubwa kama Marekani zinayaambia makampuni kutowekeza Tanzania kwa sababu sio sehemu salama kwa uwekezaji.
Nchi imevimba, mataifa yamevimba, ndani ya chama chake wamevimba, utaongozaje nchi kwa hali hii.
Kama hali iliyopo haitabadilika akifikisha miezi 6 aende Mecca akahiji.