Shida ya sisi watu weusi tuna negativity sana, wazungu wamepambana kufanya uvumbuzi wa vitu mbalimbali mpaka wamefanikiwa. Lakini njoo huku kwetu sasa hata vitu vya kawaida ambavyo ni asili ya mwanadamu utaambiwa huwezi.Acha kukatisha tamaa! Kama huna taarifa, usisema HAKUNA au haiwezekani
Umepata chanikaNina shida ya eneo la heka 4 maeneo chanika iwe hata ndani kidogo au hata pwani
Nikweli hata Mimi ni sasso ndo wanataga hivo na ninayajua.mara nyingi huwa ni kuku jamii ya saso ndio hutaga mayai haya ni mazuri sana kibiashara lakini kwa mfugaji unapaswa kupata elimu juu ya uchaguzi wa mayai yake kwajili ya vifaranga kwani huwa hawatagi yote yenye viini viwili
makampuni mengi yanabadilisha mitetea wazazi FALCON wako vizuri japo wanaanza kutoa tena mwezi ujao mwezi huu hawanaNikweli hata Mimi ni sasso ndo wanataga hivo na ninayajua.
Halafu Sasa Hivi sasso wanapatikana wapi nilikuwa na chukulia silver pale iringa Kwa Sasa oda una subiri sana Kwa muda mrefu.
Hata kroiler nilikuwa nachukulia AKM Dar Sasahivi hta no Yao haipo hewani naweza pata wapi hizi kuku aina mbili na ziwe og (F1)
Naomba mawasiliano Yao. Wana kuku Gani?makampuni mengi yanabadilisha mitetea wazazi FALCON wako vizuri japo wanaanza kutoa tena mwezi ujao mwezi huu hawana
Hapo kuna mtihani!Tuendelee pia kujiadhali na wajaa laana wa kuiba kuku usiku mabandani
Na ajue kuwa watu hawafugi ili kutambiana, na kila mtu ana mbinu zake.Njoo nikupeleke Kwa mama mdogo wangu. Siyo kuku hata kanga anao zaidi ya 200!
Ukishindwa wewe na mkeo siyo wote Mimi ninao357 Hadi Sasa njoo dmna hiyo laki yako
Au kuuza tuKuku wa kienyeji hawakai wengi kwa pamoja.
Wakifika 100 tu, wanaanza kufa kwa mdondo. Fuga wa kisasa.
Yanaliwa saana tu!...tena hata na ww itakua ushawahi kula sema haukujua tu!eLimu nzuri
ILa yai likisha laliwa kwa siku kumi linafaa kwa kula kweli??
0658531010Naomba mawasiliano Yao. Wana kuku Gani?
Vipi Hawa kuku aina ya Tanbro Wana ubora kama sasso na Kroiler? Ahsantee
Kwa asili kuku ni ndege pori. Hiyo ni nature.Kuku wa kienyeji hawakai wengi kwa pamoja.
Wakifika 100 tu, wanaanza kufa kwa mdondo. Fuga wa kisasa.
Lishe bora ndio dawa.Ni dawa gani husaidia kuku wa kienyeji ambaye hajaanza kutaga inamfanya atage kwa haraka kwa haraka
Naona unatafuta mbinu ya kuwapiga wapuuuzi?Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220.
Na bado naendelea kuatamishiae. Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure.
NJIA NAZOTUMIA KUFANIKISHA MALENGO HAYA
1: Mimi mwenyewe ndiyo msimamizi mkuu naamka saa11 alfajili kuosha makopo na kulisha chakula.
2: Nimetenga kuku 15 wanaoatamia na wengine15 wanataga tu.
3: Vifaranga navilea kwa joto la mkaa.
4: Kwenye mabanda ya vifaranga kwa siku nafanya ukaguzi Mara 4.
5: Eneo la kufugia ni kubwa na nimezungushia fesi.
6: Dawa za kuku zipo za kutosha za maji na unga.
Karibuni
Shule tu! Huku kwetu watu wana kuku mamia kwa maelfu ya kienyeji.Kuku wa kienyeji hawakai wengi kwa pamoja.
Wakifika 100 tu, wanaanza kufa kwa mdondo. Fuga wa kisasa.
Uko sawa mkuu. Pale Kenya Kuna jamaa ana kuku kienyeji zaidi ya6000 ukiwaona unaweza usiamini.Na ajue kuwa watu hawafugi ili kutambiana, na kila mtu ana mbinu zake.
Hata akienda pale Interchick na kuuliza, je mna kuku wangapi? Hatopata jibu sahihi.
Ahsantee sana mkuu0658531010
jaribu kuzungumza naoAhsantee sana mkuu
Hakikisha pia yana mbegu, kagua kuku wanaotaga kama wanapandwa na jogoo.Unayahifadhi vipi binafsi huwa naweka kwenye kisadolini ila siyafuniki