Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
Kazi iendelee Tanzania
 

Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho​

Hii ndiyo tuanahitaji kusikia kazi iendelee kata/funga mianya yote ya rushwa, maintain discipline ya kazi, penda na kuwa na uchungu na nchi ni namna pekee ya kufika kileleni.
 
Hii ndiyo tuanahitaji kusikia kazi iendelee kata/funga mianya yote ya rushwa, maintain discipline ya kazi, penda na kuwa na uchungu na nchi ni namna pekee ya kufika kileleni.
Kazi iendelee Tanzania,
 
Good madame
 
Huyu CM 1774858 anaeleweka
 
Tzn imepata Ma Rais kadhaa ila haijawahi pata Rais mwenye nyota njema kama Samia.

Tzn ya Samia inazidi kusonga mbele πŸ‘‡





























 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…