Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Kazi ni
Mungu simama na Tanzania
 
Mama anafanya maajabu kwelikweli,
 
SISI NA SAMIA TU MPAKA 2030
 
Tanganyika itaendelea siku mtakapoamua Kuwekeza kwenye KILIMO haswa Cha Umwagiliaji ili tuache au kupunguza kuagiza Mali Ghafi za KILIMO kwa ajili ya VIWANDA vyetu..
Hivi vingine ni kutishana kwa namba za Uwekezaji ambayo haimsaidii Mtanganyika wa chini zaidi ni Serikali kupata Kodi itakayolipwa na hao Wawekezaji ambayo nayo hao hao Wakubwa kuifanyia UFISADI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…