Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
unaweza kuitaja japo kwa uchache kwa majina tuone kama ni miradi yenye tija kwa watanzania au ni kwa ajili ya kikundi flani tu cha wapiga mapambio.
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Siasa za propoganda hali ya kitaa inazidi kuwa tete balaa
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Data za ccm ni za kupika ndani ya miaka hii sita mmetudanganya vingi sana
Mara viwanda elfu sita, ajira million moja
Ilifikia kipindi mpaka data za nbs zikawa zinaandikwa asubuhi sahii na kubadilishwa jioni kufuatia maelekezo kutoka juu.
 
Toa upuuzi wako, huwezi fananisha huyu na mwamba JPM, huyu mama yenu mwisho 2025, aende kucheza na wajukuu.
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Data za ccm ni za kupika ndani ya miaka hii sita mmetudanganya vingi sana
Mara viwanda elfu sita, ajira million moja
Ilifikia kipindi mpaka data za nbs zikawa zinaandikwa asubuhi sahii na kubadilishwa jioni kufuatia maelekezo kutoka juu.
Unapikaje data?
 
Katika hiyo miradi 90% wanafanya ahadi tu hakuna kitu , JPM katika michache iliyokuwepo ya kweli ilikuwa mingi.

wakati huu wa COVID pesa itoke wapi? Uongo mtupu, hao wawekezaji kwanza angalia ati Egypt , lo!
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you be positive to your country Mkuu,!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Haya sawa, tutakuwa nchi matajiri in few years to come...
 
Mkuu kila kukicha mambo ni moto kama hivi ๐Ÿ‘‡





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ