Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Walisema watanunua wala hawakusema wamenunua, alifanya wapi huyo Dhalimu wako? Tuonyeshe.
 
Walisema watanunua wala hawakusema wamenunua, alifanya wapi huyo Dhalimu wako? Tuonyeshe.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Watanzania tunapenda sana sound na kudanganyana. Tuchape kazi. Maneno maneno mengi hayataijenga nchi yetu. Zama zinabadilika. Tubadilike. Tutageuka minara ya chumvi huu uongo uongo wetu tunaouendekeza
 
Tulia utaelewa tu
 
T
Uchape kazi
 
Sijawahi kuona Taifa moja likinufaisha Taifa jingine.

Serikali inapaswa kuwawezesha wananchi wake kuweza kumiliki uchumi wa Nchi yao na sio kuwaleta wageni wavune utajiri wetu wakituachia mashimo na kugeuza vizazi vyetu kama watumwa katika nchi yao.


Inasikitisha mno watu kujivunia kuwa maskini.
 
Mkuu hata Marekani kunawawekezaji wakubwa hasa kutoka China
 
Mkuu hata Marekani kunawawekezaji wakubwa hasa kutoka China
ila marekani tayari ni taifa ambalo wananchi wake wanajiweza kiuchumi,

malengo iwe kuwawezesha wananchi na sio kujisifia kujaza watu wanaotudidimiza tu.

Kama unakumbuka sera za Trump za Marekani kwanza.

Kila nchi inalinda Raia wake , hilo ndilo jukumu la Serikali.

Tusijisifie kuibiwa.
 
Nakuelewa sana Mkuu wangu ila tuko kwenye hatua hizo,
 
Toa upuuzi wako, huwezi fananisha huyu na mwamba JPM, huyu mama yenu mwisho 2025, aende kucheza na wajukuu.
Timu hovyo hovyo wanapata tabu sana
Wanaugua kweli,hawana la kusema,wamejawa na upofu,hawataki kufungua macho yao
 
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you be positive to your country Mkuu,!!
😍😍
 
Hongera sana Mama Samia Suluhu,
 
Kwanini unateseka nchi yako kupata maendeleo,

Wewe unatokea nchi gani?

Hii miradi itamwajiri hata ndg yako kama sio wewe

Kama huna ndugu hata jirani yako ataajiriwa pia,

Why can't you be positive to your country Mkuu,!!
Hiyo sentensi ya mwisho ya kuwa positive imebeba ujumbe wote.
 
Uchumi ni imani.

Watu wakikosa imani na kesho yao, hawawezi kufanya uwekezaji.

Nimepitia Masaki, ghafla naona miradi mingi iliyosimama imeanza upya, na mingine mipya imeanza kuchipuka.

Jiwe alikuwa anatumaliza kabisa.
Sio imani pekee hata approach ya kiongozi mkuu ile lugha yake ya kukaribisha, ni vigezo vinavyowapa imani wafanyabiashara wakubwa.
 
Sasa hivi umekuwa uongo uongo. Miaka ile ilikuwa ni uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…