Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

Ni chizi tu ambae angeweza kuleta mitaji yake bongo,yan mbongo ukiwa na milioni 200 wilayani utafwatwafwatwa na wengi zilizuiliwa,mama kafungua akaunti zote kasa hataki pesa za machozi,kutoka Ulaya, Dubai,India,Omani ,Kenya Afrika kusini na USA watu wao wanaleta mitaji wanaimani na MAMA,wasiwasi tena haupo,na Nchi inayoongoza kuvutia wawekezaji na mazingira mazuri ni USA.
 
kwa sasa mambo ni sawa
 
Safi Sana Rais wangu
 

Bonge la Rais ever, Mama haukamatiki kabisa,
 
 
Unamaanisha hawa wote machizi?
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
safi sana
 
Utaumia sana, JPM yupo kuzimu, Mama ndio habari ya mujini mpaka 2030 inshallah.

Usijitafutie maradhi ya moyo kwa kumchukia the choosen one, ukisikia chaguo la Mungu ndip mtu kama Samia.

Hakugombea Urais ila Mungu amependezwa naye.
Daah
 
Watalii wameongezeka sana Tanzania kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…