Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

 
Wewe ni
Nani kasema zimetumika ndege 100?
Nilikua nadhani wewe ni mbobevu wa masuala ya kijeshi i was wrong kumbe ni Muangaliaji movie tu huna unalojua ,haufatilii taarifa unangoja zipostiwe humu JF .

Israel imetumia 100 fighter jet kushambilia Iran kupitia inchi jiran zake (zilitoa permission kutumika anga zao ) haikuingia ndani ya anga la Iran, ndege 100 ni airstrike kubwa haiitaji kukongaja siku mbili wala satellite images kujua madhara, Israel imefeli maandalizi makubwa impact zero ..


View: https://youtu.be/SGlkJERPmwo?si=qUyZUjNrUhp-qdZc
 
Kuitegemea Iran ikiri kuwa kulikuwa na madhara kutokana na haya mashambulizi ni sawa na "kutegemea serikali ya chura kiziwi ikiri kuwa Tanzagiza Kuna utekaji na uuaji"
 
Ndege hazikuingia ndani ya Iran ninyi watu.
Zilipiga kutumia anga la Iraq.
 
Usijiaibishe mkuu haifai.
Iran wana Bavar-373 missile interceptors.
Sasa wewe unakuja kutudanganya kuwa wanatumia AA guns!?
Hata aibu huoni mkuu!?
 
Usijiaibishe mkuu haifai.
Iran wana Bavar-373 missile interceptors.
Sasa wewe unakuja kutudanganya kuwa wanatumia AA guns!?
Hata aibu huoni mkuu!?
Video clip za AA guns anga la Iran hujaziona?

Bavar-373 wana batteries ngapi na Iran ina ukubwa gani? Au unahisi ukishakuwa na AD system chache tiyari umetosheleza mahitaji ya nchi.
Mpaka leo Urusi haijawahi jitosheleza na AD systems na inazo maelfu kuliko nchi yoyote duniani na inaunda tokea miaka ya 1970s uko, we unaisema Bavar na vimifumo vingine vya miaka ya juzi.
 
Tupe ushahidi

17:36 GMT

Israeli warplanes have
conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations. The mission has gone on to accuse the United States of being complicit in the incident.

“Iraqi airspace is under the occupation, command and control of the US military. Conclusion: The US complicity in this crime is certain,” the Iran UN mission says in a post on X.

Iran says Israeli jets struck Iran from Iraqi airspace, US therefore complicit​



Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets​



 
Kwanza Haujavaa hijab wewe.
Sasa ni kwambie kitu? Wala haihitaji Degree ya juu kutambua kuwa Israel imefanikiwa kwenye hilo shambulizi. Ndege zote zimerudi salama. Ni suala la muda tu, maayatollah wako siku zao are numbered. Na walivyowajinga watajichanganya tu, baada ya uchaguzi wa USA kumalizika na hapo ndipo watamaliziwa
 
Wala haihitaji Degree ya juu kutambua kuwa Israel imefanikiwa kwenye hilo shambulizi. Ndege zote zimerudi salama.
Sasa ulitegemea zikiwa nje ya anga la Iran zisirudi salama?? Au unaamini ziliingia kwenye anga la Iran?? Punguza mahaba na tumia akili yako vizuri hata kama unayo ndogo!

Iranian Military Claims Israel Used Iraqi Airspace To Fire Missiles At Iran Targets |​



Israeli warplanes have conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations.

 
Naunga mkono hoja huyo mchafuzi anangojea satellite images eti kujua madhara ya ndege mia kwanza anajua ndege mia idadi yake israhell bure kabisa
 
Hakuna anga litakalo toshewa na mfumo wa anga hasa kama Russia kulingana na ukubwa wake vipi images za satellite hazijapatikana bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…