Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

 
Ndege za myahudi zimefika na mashambulizi yamefanywa na Iran imekiri peupee kuwa uharibifu umetokea
ila wewe kwa upeo wako unasema

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

hii bila shaka itakuwa dunia ya maamumaz.
 
Niliwahi kusikia na Tanzania tuna mfumo wa kuzuia makombora ya ICBM umewekwa Dar na Arusha Kuna ukweli wowote juu ya usemi huu?kama ni kweli pongezi Kwa jeshi letu Bora duniani likishikilia nafasi ya sita kati ya Nchi zote duniani Kwa mujibu wa msemaji wake
 
Propaganda 🚮
Kumbe Ayatollah ana machawa wake Tanzania, duh?!!
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Hakuna hata ndege ilio ingia wacheni poroja zilizo tumiwa ni drones na Missiles zimerushwa na ndege nje ya mpaka wa Iran walijua zitatunguliwa 😄
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Nanukuu:
"Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia."
Hapo ni kweli kwamba Iran imeishangaza dunia kwa kuduwaa, kuzubaa na kushindwa kufanya kama ilivyotarajiwa na wengi kutokana na majigambo yake ilivyokuwa akitoa. Badala yake, baada ya kupigwa na kitu kizito ndo Iran inazinduka na kuja na mkakati maandazi wa ku-Hijack credit iliyokuwa ni stahiki kwa IDF(Israel) na kuifanya ni ya kwake eti kutokana na Umahiri wa Iran Air Defence Systems.
 
T14 Armata
 
Ndege zilirusha makombora nje ya anga la Iran Israel sio wajinga kiasi hicho.
Usifanye watu humu ni wapumbavu kama wewe
Unajua jet fighter inatakiwa iwe umbali gani kutoka kwenye target kabla haijafyatua kombora? Unajua umbali uliopo kutoka Iran hadi maeneo mbalimbali zilipokuwepo hizo targets? Unajua ndege zilizotumika ni zipi?
Au unaongea tu ukitumia uzoefu wa kuokoteza vihabari mitandaoni huku akili zako ukizifukia kwenye mchanga?
 
Waarabu walipandikiza ujinga kila sehemu waliopita kubeba watumwa
 
Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!
Katika football, golikipa akiibuka Man of the Match inabidi timu yake ijitafakari zaidi kuliko kujipongeza
 
Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.
Huu upendeleo wa wazi kabisa Marekani anafanya. Mbona Palestine na Lebanon wanafanyiwa mashambulizi yenye hatari kubwa kwa raia? Kwanini Iran ishambuliwe mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia?
Marekani anaipendelea Iran, sio sawa kabisa wanachofanya!

Huu ni upendeleo wa wazi kabisa anaufanya Marekani kwa Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…