Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Nani aliyekulazimisha ufanye hayo?Kwani hauna utashi?Usikwepeshe hoja kwa kuweka kioja kisicho na mashiko wala uhusiano.Kama nchi,CCM imeshindwa kusikiliza ushauri mwema wa kisheria kutoka kwa TAML!Matokeo yake ndiyo hizi fedheha.Na muendelee kukaza shingo kwa kuzusha miuongo isiyo na tija kwa taifa.Mkuu huwezi kufanya kitu haramu halafu ikataka kukifanya kiwe halali mazingira yetu na tamaduni zetu haziruhusu
Huyo Mzanzibari mwenezi una habari zake?Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
Imeenda kufungua nchimiga ndo nini?...
Nilikuwa Donbas wakuu ndo narudi, kama nimeona Airbus yetu kule Ulaya..!
Man of God. Waovu tu ndio hawampendi lakini Watz wanamtaka huyu Bwana. Hii ilithibitika wakati wa Kampeni 2020Kama mambo yako yamepinda pinda na yapo ki-ujanja ujanja na upo ccm Tundu Lisu utamuona kama MWIBA yaani hafai.
Ila kiuhalisia ILE NI ZAWADI KWA TANZANIA
Namkubali hasa kwenye kutamka wazi walioitafuna hii nchi hamung’unyi hata chembe ya neno!
Alikuwa na uwezo wa kufanya mazuri pia kama ambavyo amefanya..!! Hukumbuki kauli yake kwamba yeye hasikilizi ushauri..!!??Lakini sio yeye peke yake. Kuna Kundi Kubwa lilikuwa nyuma yake. Kumlaum yeye pekee nikumwonea.
Mbona ndani ya ccm kuna mashoga na wasagaji wengi sana!!!! Unataka tuwataje kwa majina? Tena wengine ni wanaume lkn,wameolewa na wanaume wenzao!Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
Huyu jana alikua amegaragara chini huku amefunga kibwebwe na akina mama kule lindi eti wanampokea shujaaEtwege mzee wa MIGA anatosha kabisa kujibu Uzi wako
Hii concept ni ya kijinga sana kwanza CDM haisapoti uchoko, pili serikali yenyew ipo bega kwa bega na wazee wa upinde. Ndio maan hata enz za jiwe lugola alikana kauli ya makonda kuhusu ushoga na kusema sio kauli ya gavoo that means they accept that shit!!Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
Daah yaani Nchi ilikuwa imepata Rais Mzuri sijui alikwama wapiAlikuwa na uwezo wa kufanya mazuri pia kama ambavyo amefanya..!! Hukumbuki kauli yake kwamba yeye hasikilizi ushauri..!!??
Sasa msitoe milio kuhusu ndege kupigwa mnada, kaeni kimya kbs!! Wala msiwabeze wanaosema ndege kupigwa mnadaNani amsikilize boys huyo?
Bora umemwambia asitake tuanze kuchimbua kila kitu hapaHii concept ni ya kijinga sana kwanza CDM haisapoti uchoko, pili serikali yenyew ipo bega kwa bega na wazee wa upinde. Ndio maan hata enz za jiwe lugola alikana kauli ya makonda kuhusu ushoga na kusema sio kauli ya gavoo that means they accept that shit!!
Babu ccm yote ni wajaa laana sie yeye tu. Chama chao na mfumo wote unaowaweka pale umejaa watu wenye laana waroho wa kulitafuna nchi wasio na chembe na nia ya dhati kuipeleka mbele nchi. Wote ni majizi kwa nyakati zao huku wakitupooza kwa kipande cha mkate kwa kujua fika akili za wadanganyika zilivyo.Jiwe ameliweka taif hili kwenye matatizo makuubwa sana
Upo sahihi ✔️Nani aliyekulazimisha ufanye hayo?Kwani hauna utashi?Usikwepeshe hoja kwa kuweka kioja kisicho na mashiko wala uhusiano.Kama nchi,CCM imeshindwa kusikiliza ushauri mwema wa kisheria kutoka kwa TAML!Matokeo yake ndiyo hizi fedheha.Na muendelee kukaza shingo kwa kuzusha miuongo isiyo na tija kwa taifa.
Cc barafuyamoto jaribu kutumia nguvu uone 🤣🤣🤣Hahahahah acha makasiriko. Ndege imekamatwa, tuwe wapole, mbu ametua kwenye testicles huwezi kutumia nguvu kumuua
Kapotea tangu juzi Forum kaikimbiaHuyu jana alikua amegaragara chini huku amefunga kibwebwe na akina mama kule lindi eti wanampokea shujaa