Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Lakini pia tamaa haiingii kwenye mali tu tunapo zungumza tamaa ni angle zote.Wanaouwawa kisa mali ni familia bora ambazo ni chache hapa kwetu. Huko vijijini kwenye umaskini wa kutupwa ndo wanawake wanauwawa zaidi ni vile takwimu hazichukuliwi na hayaripotiwi popote maana familia zinamaliza kimyakimya.
Yah! Nakubali lakini kwenye kutegemeana kuna mhimili wa kutegemeana umeinamia kwa mwanaumeHehe wewe hujui binadamu tunategemeana ukiacha mbali jinsia ?
Unachekesha
Una mawazo ya kale enzi za kufua vyuma pole sana aiseeYah! Nakubali lakini kwenye kutegemeana kuna mhimili wa kutegemeana umeinamia kwa mwanaume
Ukiacha mapenzi mwanaume anaweza ishi miaka buku bila mwanamke ila vice versa is not true to women
Wanawake huishia kuuza k kwa wanaume hapo mmejitegemea wapi sasaKwenye kutafuta mapene.
Wewe dada hakuna ukatili kama uwekeze hela zako mahali halafu uonekane wewe hauna akili ila akili anazo mwanao unayemlipia Ada shule ya msingi wa miaka 15 na mama yake!Acheni ukatili hakuna mwenye haki ya kuua mwingine kama huwezi kuumba kwanini uue
Huo unaouita umarioo nyuma yake kuna sponsor na kumbuka adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzieUna mawazo ya kale enzi za kufua vyuma pole sana aisee
Saivi wanaume mmegeuka Mario umesahau?
Kwahiyo arrogance ya mwanaume ni nzuri na arrogance ya mwanamke ni mbaya??. Na hapo unaposema " submissveness is expected from women in many cultures" kwani hizo cultures ni misahafu kwamba hatuwezi kuzibadili?. Mkuu mimi niko against arrogance haijalishi imefanywa na jinsia ipi, ukiwa na madaraka unatakiwa uwe mnyenyekevu na utumikie sio kufanya wengine watumwa wako.Mkuu, arrogance kwa mwanamke inaweza kuwa adaptive, especially anapokuwa kwenye position of power.
Angalia hata baadhi ya wanawake wanaojua wazi kuwa they’re attractive then add status, authority, na influence kwenye equation the dynamic can become even stronger.
Kwa upande wa wanaume, leadership na dominance mara nyingi huhusishwa na biological and social factors.
while submissiveness is traditionally expected from women in many cultures.
But when women reach the very top of the hierarchy, the dynamics change completely.
Power can amplify personality, especiallywomen.
And when power women meets ego, the world eventually gets to see the consequences.
Kwanini mmeng'ang'ania mali kaka wakati hapo takwimu zinaonesha ni wivuWewe dada hakuna ukatili kama uwekeze hela zako mahali halafu uonekane wewe hauna akili ila akili anazo mwanao unayemlipia Ada shule ya msingi wa miaka 15 na mama yake!
Wanawake mna dharau tena za kijinga sana,yaani baba nijenge nyumba,wewe umwandikie mtoto wewe huyo huyo uwe msimamizi kwamba mimi niliyejenga sina akili siyo?kama wewe na mwanao mna akili kunizidi kwanini msingejenga nyie?upumbavu kabisa yaani mnataka kurithi sijafa?Hakika chuma haikwepeki!
Nenda The Chanzo kwenye Instagram yao ujionee ni kisa kirefu dada hayuko sawa hata kuongea hawezi mama yake anamuombea msaada wa matibabu. Na ndo kwanza ana miaka 28 dada wa watu tayari ashatishiwa kuuwawa kisa mimba zinaharibika.Na sisi wanawake jamani huyu dada haoni hiyo ni red flag akaondoka
Tatizo nini kipato mapenzi?
Una safari ndefu sana kwahiyo wanawake hawafanyi kazi?Huo unaouita umarioo nyuma yake kuna sponsor na kumbuka adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzie
Yani sisi wengine tukipambana na jinsia ke kuna masimpy maofisini huko yanawapa vyeo in exchange to mbususu halafu mnakuja kujitapa mnatuzidi huku anaewapa kiburi ni mwanaume mwenzetu
Alooo nitaenda nioneNenda The Chanzo kwenye Instagram yao ujionee ni kisa kirefu dada hayuko sawa hata kuongea hawezi mama yake anamuombea msaada wa matibabu. Na ndo kwanza ana miaka 28 dada wa watu tayari ashatishiwa kufa kisa mimba zinaharibika.
Ila wanaume hawatacomment hapo maana tamaa ya mali haihusiki.Alooo nitaenda nione
Inasikitisha
Nakazia wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli. Tamaa zimewajaaMtakufa kama kumbikumbi chungeni tamaa zenu.
Jitambueni na mtambue haki za wenzenu acheni ubinafsiKinacho waponza wanawake wengi ni kutaka kuweka ligi na wanaume bonge moja la mistake
Aibu yenu na hiyo mitazamo yenu hasiNakazia wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli. Tamaa zimewajaa
Hawa watu wanaitaji ukomboziIla wanaume hawatacomment hapo maana tamaa ya mali haihusiki.
Kwako wewe mwanamke kuzabwa kibao ni sababu ya kukimbia ndoa.?Na nyie wanawake mjichunge sana kama hamuwezi kupimana afya ya akili basi angalau uwe na clue, ukiona mtu mmepishana kidogo amebadilika uso na macho au amekuzaba kibao kimbiaaaaa huyo mshenzi kuna siku atakuua, usivumilie kipigo wala udhalilishaji, mwisho wa siku utazikwa mapema
Labda ya kuuza mbususu😄😄Una safari ndefu sana kwahiyo wanawake hawafanyi kazi?