ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #321
Ukitaka asubiri panga kwenye mkoni nyoe wanaume mpo je?Kwako wewe mwanamke kuzabwa kibao ni sababu ya kukimbia ndoa.?
Ifike pahala msiolewe kabisa nyie sio wanawake ni wasichana
Huna hata. Heshima kwa wanawake naomba tuishie hapaLabda ya kuuza mbususu😄😄
Me analomba michepuko zaidi ya wanne na bado analeta mahitaji home akiendelea kujali Ke na watoto kama kawaida ilihali Ke akichepuka mara 1 tu tayari dharau na picha za kila namna huonesha kwa mumewe.
Kati yao hapo nani ni dhaifu?
Au unadhani kwanini Ke ndiyo hurundikana kwa waganga wa kienyeji kutafuta namna ya kupumbaza Me ili wawe juu yao?
Ke dhaifu mno na mwepesi kurubunika, huamini katika uwongo zaidi ila si Me.
Me hana udhaifu kiviile kulinganisha na Ke aliye dhaifu kwa Me kupindukia.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine tukatae kwa pamoja huu ukatiliNdiyo hivyo, japo nahisi wakati mwingine wanakuwa wanachoka kupigwa matukio
Kuna Wanaume wenzetu, licha ya umri kusogea kama huu wangu, lakini bado wanawapiga matukio wake zao
Nahisi hili pia linachangia, mke anaona bora akuondoe abaki analea watoto huku akibaki na mali zote chini yake
Ndoa zina mengi mjukuu 🥲
Ndani ya ndoa kuua hakujaanza leo!!!!
Tena wanaoongoza kwa kuua ni wanawake!! wanawake wanaua sana wanaume si mijini wala vijijini ni vile mbinu bado hazijasanukiwa.
Mwanaume hakikisha ukianza kuchepuka humo ndani na mkeo akajuaa hata akisamehe hakikisha unakaa ki masta humo ndani .
Hiyo unayoiita heshima ndio ukweli wenyewe,Huna hata. Heshima kwa wanawake naomba tuishie hapa
Ya mwisho mountain mbususu ndio mjinga zaidi kuliko muuzaji
Ni kweli, hakuna mwenye haki ya kuua mwingine, ndiyo maana Kuna mahakama.Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine tukatae kwa pamoja huu ukatili
Kwanini mmeng'ang'ania mali kaka wakati hapo takwimu zinaonesha ni wivu
Kubalini kua mnaendeshwa na hisia kuliko reasoning
Hata hivyo unaweza kwenda mahakamani kudai haki yako kuliko kuua acheni kuua sio vizuri kama mna watoto mna a wachaje
Naingia hapa kwenye pointya The WorstKwenye kutafuta mapene.
Hii ya kufanya kazi ndiyo iliyotuponza mafala wengiUna safari ndefu sana kwahiyo wanawake hawafanyi kazi?
Asante kwa maoni naona wewe una lako jambo na wanawake pole ndio tupo sasa labda mtumalizeHiyo unayoiita heshima ndio ukweli wenyewe,
Nguvu ya mwanamke dhidi ya mwanaume ipo kwenye mbususu pekeake tofauti na hapo mngekuwa masikini wa kutupwa maana kama sio kazi za iyo kitu mngekuwa apeche alolo kwenye kila angle
Siku hizi tuna matajiri wapya wa mitandao (maslay queen)
Hakika babu mahakama zipo kama mambo yakienda komboNi kweli, hakuna mwenye haki ya kuua mwingine, ndiyo maana Kuna mahakama.
Huyo mume atahukumiwa kwa kuua kwa risasi, mke anaweza kumuua mume kwa sumu
Tena hii ya simu, inaweza chukua hata miaka 3 ikikuua taratibu
Ndiyo maana nashauri watu kuoa na kuolewa na wenye mapenzi nao
Sio rahisi kumuua mume/mke ulipendana naye
Hawa wajinga hawajui Kuna uhawala na ndoaNaingia hapa kwenye pointya The Worst
Mkuu, point yetu haijabase kwenye mali yenyewe tunaongelea investment na sacrifice.
Mtu anafanya kazi kwa nguvu, anaamka usiku, anahangaika kutafuta pesa.
mwisho wa siku sehemu kubwa ya juhudi zake inaenda kumhudumia partner wake kumlisha, kumvisha na kuhakikisha anaishi vizuri.
Sasa imagine baada ya all that, anakuja kuona kwamba yule mwanamke anaendelea kuwa na mahusiano na wanaume wengine.
Na akimuuliza, jibu linakuwa Sikukutuma unifanyie hayo yote.
Unadhani frustration, betrayal na wivu haviwezi kujenga mazingira hatari?.
Hapa si justification ya violence ni kujaribu kuelewa psychology ya mtu anayehisi kwamba years of sacrifice zake hazina value.
huku akiona mtu mwingine akifaidika nazo.
Kwa hiyo swali si kama kila mwanaume atafikia hatua ya kufanya kitu kibaya.
swali ni how much emotional pressure can resentment, jealousy and perceived betrayal create before someone loses control ?
Hapo mpaka unapigwa za kicwa maana yake umezidiwa ujanjaNaingia hapa kwenye pointya The Worst
Mkuu, point yetu haijabase kwenye mali yenyewe tunaongelea investment na sacrifice.
Mtu anafanya kazi kwa nguvu, anaamka usiku, anahangaika kutafuta pesa.
mwisho wa siku sehemu kubwa ya juhudi zake inaenda kumhudumia partner wake kumlisha, kumvisha na kuhakikisha anaishi vizuri.
Sasa imagine baada ya all that, anakuja kuona kwamba yule mwanamke anaendelea kuwa na mahusiano na wanaume wengine.
Na akimuuliza, jibu linakuwa Sikukutuma unifanyie hayo yote.
Unadhani frustration, betrayal na wivu haviwezi kujenga mazingira hatari?.
Hapa si justification ya violence ni kujaribu kuelewa psychology ya mtu anayehisi kwamba years of sacrifice zake hazina value.
huku akiona mtu mwingine akifaidika nazo.
Kwa hiyo swali si kama kila mwanaume atafikia hatua ya kufanya kitu kibaya.
swali ni how much emotional pressure can resentment, jealousy and perceived betrayal create before someone loses control ?
Wanaume wa kitanzania mnaitaji darasa la ukomavu na maarifaNitarudia nyie Feminist msipowafundisha na kuwaelekeza wanawake kuacha Psychological Torture kwa wanaume, mauaji kwa wanawake hayatakoma.
Mnataka nini sasa mwanamke tegemezi au anaejitumaHii ya kufanya kazi ndiyo iliyotuponza mafala wengi
Nilioa mke hajui kitu nikampa moyo athubutu kufanya kitu na akaweza.!
Kisha nini malipo yake.! Mke anatongozwa mpaka na wanaume wa watu kisa ujasiriamali
Wakati mimi nawaza nisije acha mjane tegemezi atakayesagwa papa wakati sipo... Looh salaleee.!
Kumbe natengeneza Supa Woman 🤭
Tena ashukuru Mbwa yule sikuwa na chuma angejua hajui..mamaee
Umeelewa point yangu lakini ? Nimeeleza kabsa si kila mwanamme ataishia kuua em rudia kusoma hoja yangu.Hapo mpaka unapigwa za kicwa maana yake umezidiwa ujanja
Nakushauri issue sio kuua BIG NO
Fata sheria utasaidika
Kumbuka ukiua utajuta milele
Kubalini kubadilika baadhi yenu mna tamaa sana.Aibu yenu na hiyo mitazamo yenu hasi
Basi ni ushauri wangu kwako, olewa na Mwanaume unayempenda na yeye anayekupenda kwa dhatiHakika babu mahakama zipo kama mambo yakienda kombo
Hiyo kuoana wapendanao ina sound vizuri mnoo
Wanataka usubiri hadi angalau ukatwe mkono ndo ukimbie.Ukitaka asubiri panga kwenye mkoni nyoe wanaume mpo je?
Hakuna ukomavu kwa mtu aliyevurugwa akili. Hivi unaweza kumwambia chizi kwamba anatakiwa awe na ukomavu wa akili?Wanaume wa kitanzania mnaitaji darasa la ukomavu na maarifa
Manaendeshwa na mihemko
Fikiria ukiua unapata nini
Zaidi ya kujutia milele