Mbona na wewe umeng'ang'ania kuua.!Wanaume wa kitanzania mnaitaji darasa la ukomavu na maarifa
Manaendeshwa na mihemko
Fikiria ukiua unapata nini
Zaidi ya kujutia milele
Baadhi yetu tubadilikeUmeelewa point yangu lakini ? Nimeeleza kabsa si kila mwanamme ataishia kuua em rudia kusoma hoja yangu.
NB: ikumbukwe kwamba Mauti ni adhabu ngumu kilinganisha hata hicho kifungo.
Mauaji na kufungwa ni balance mbili unequal kwahiyo pain ni kubwa kwa familia ya mfiwa.
Badilikeni ๐
Ndio uende ukatombwe kisa hatujui tunachotakaMnataka nini sasa mwanamke tegemezi au anaejituma
Hamjui hata mnachokitaka
Kumbe kuvumilia ukatili ndo kunafanya msichana awe mwanamke??. Basi msichana nipo hapa sema ubaya ndo nishaolewa ushauri umechelewa.Kwako wewe mwanamke kuzabwa kibao ni sababu ya kukimbia ndoa.?
Ifike pahala msiolewe kabisa nyie sio wanawake ni wasichana
Hudumu na ukidumu umeolewa na khanisiKumbe kuvumilia ukatili ndo kunafanya msichana awe mwanamke??. Basi msichana nipo hapa sema ubaya ndo nishaolewa ushauri umechelewa.
Tunaweza kujenga hoja bila kutumia maneno makali?Ndio uende ukatombwe kisa hatujui tunachotaka
Mbona umekua mkali bro ?๐ ๐Hudumu na ukidumu umeolewa na khanisi
Ndoa ni misingi ukiingia umekubali term na conditions si vinginevyo.Hawa wajinga hawajui Kuna uhawala na ndoa
Ndoa ni investment ya makitu mengi kama hawawezi wajichoche na matango
Wasiingie kwenye ndoa mguu ndani mguu nje watakufa wengi
Kutombwa sio neno kali 2026Tunaweza kujenga hoja bila kutumia maneno makali?
Ukitaka maneno makali nitakutagi kwenye nyuzi zangu fulani fulani
Hapa tutumie tafsida
NB ukila vya wenzio vyako vitaliwa nikiwa na maana unapokula mwanamke wa mwanaume mwingine hata wako ataliwa
Ajabu unaanza kua mkali unasahau wewe mwenyewe huna usafi huo
NB siungi mkono umalaya
Babu huko kwenu hakuna aliebaki๐Basi ni ushauri wangu kwako, olewa na Mwanaume unayempenda na yeye anayekupenda kwa dhati
Tumieni mbinu za mwaka 47, kumzungusha Mwanaume hata miezi 12 huku zoezi la kumchunguza na kumjua kiundani likifanyika
Ni zoezi gumu lakini lenye kukupatia mume bora atakayekupenda na kukujali kama yeye, ambaye ataona hatia kukuua na kukupoteza hata kwa dakika 2
Asante kwa maoni karibu tena mkuu ๐๐Kutombwa sio neno kali 2026
Sema labda kwako limekuja kama JeBu
Watoto wanafundishwa kutumia kondom kwa usahihi shule za msingi zama hizi.. Nani hajui kunyukwa.!
Nb: unaunga mkono umalaya.. Tena ule wa muda mrefu wa kuitwa ndoa
Msaliti kuuwawa ni haki yake ila mtu akijizuia si mbaya
Wala sina ukaliMbona umekua mkali bro ?๐ ๐
InasikitishaWala sina ukali
Sema wewe unaota ndoa mimi naeleza kama ilivyo.. Vile mpaka jubilee hujala Kelbu.! Hakuna ndoa hapo
Huu ukweli yeye hautaki Yani anataka wawe wanakigawa ila wasiuliwe maana kuua ni ukatili ila kutumia cha mwanaume kisha mbususu wapeleke kwingine sio ukatiliNdio uende ukatombwe kisa hatujui tunachotaka
Nilimpiga 3 bila mapema tu sema sipendi kuua ila wanaoua siwalaumuInasikitisha
Mkeo akae chonjo
Wewe si hutaki kuniletea Kiko, utajuaje mbinu za mwaka 47 bila babu yako kukuhadithia ๐คชBabu huko kwenu hakuna aliebaki๐
Hizo mbinu za mwaka 47 zitafua dafu kweli kwa Gnz?
Wakiamua kuwa bidhaa mi ni nani hadi niwapangie maisha yao?Unashida na hii gender yetu tu?
Mwanamke sio bidhaa
Unataka kuseme hata dada zako nao pia ni vyombo vya wana heshimu basi Mwanamke
Kusoma ni shida ila hata picha huoni?Una ushahidi kuhusu hayo mambo ya waganga?
๐ ๐ dah๐๐ผNa wewe lazima ukaozee jela, kule si unajua marufuku kuokota sabuni ikidondoka
Ningekuwa karibu yake ningekula kofi,hawa ndo wale wauwaji๐๐๐.Mbona umekua mkali bro ?๐ ๐