Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Wanawake mna sahau kuwa nyie ni kama mauwa tu, ila mnaenda mbele na kutaka kuwa mabeberu ndani ya nyumba.

Feminine energy is declining every day
 
Wanawake mna sahau kuwa nyie ni kama mauwa tu, ila mnaenda mbele na kutaka kuwa mabeberu ndani ya nyumba.

Feminine energy is declining every day
Baada ya kuzuka kwa usawa wa kijinsia ndo haya matukio ya wanandoa kuuana yalipoanza
 
Inabidi ushukuru kwa sababu huyo mwanamke hakuweza ku fake

Ukaishia kugundua mapema na kuepuka madhara ambayo yangeweza kujitokeza mbeleni

Shida ya mahusiano mengi hakuna uwazi hakuna true love mtu una focus unakuta na jambazi la mapenzi inavunja moyo ila ni kujikaza kusonga mbele usikubali kupelekwa na hisia na kuishia kufanya ukatili
 
Baada ya kuzuka kwa usawa wa kijinsia ndo haya matukio ya wanandoa kuuana yalipoanza
Na wanachukulia literally sana hawa wanawake eti kuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke
 
Mauaji ndani ya ndoa ni mengi mnoo pia yanafanyika kwa namna tofauti tofauti.
Haya machache yanayoripotiwa ndio yanafanya jamii ishtuke! lakini hali ni mbaya sana
Kuna yule dada aliyemuua mme wake akamfukia nyuma ya nyumba yao, yule watu hawakumzungumzia.
 
Ukiwakuta sasa wanajisifia kuwa huwa wanatumia akili na sio hisia kufanya maamuzi ndio utachoka🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Mi nahisi sababu kuu ni mbili:
1) Ku date na mwanaume mwenye asili ya violence, siku ukihitilafiana nae kidogo tu anakuua

2) wanaume kuwekeza sana pesa na muda na matarajio kwa wadada na mwishowe kuambulia kuachwa au usaliti au kukataliwa..mwishowe mtu anachukua uamuzi wa kuua binti kiziwi
 
Ni kweli kabisa kuuwa mtu sio jambo zuri hata kidogo apa ilitakiwa sasa wanasaikolojia wawe wengi kwenye Nchi yetu ikiwezekana kuwe na vipindi vya kutosha kwenye Tv na kwenye Radio tupate elimu ya kutosha ya kisaikolojia inaweza ikasaidia kwa kiasi kikubwa.
 
Mi nahisi sababu kuu ni mbili:
1) Ku date na mwanaume mwenye asili ya violence, siku ukihitilafiana nae kidogo tu anakuua
Sahihi, kama mtu anaasili ya rage, atakuja kukuvamia hata siku ukikohoa tu.

2) wanaume kuwekeza sana pesa na muda na matarajio kwa wadada na mwishowe kuambulia kuachwa au usaliti au kukataliwa..mwishowe mtu anachukua uamuzi wa kuua binti kiziwi
Wanaume wengi tu wanawekeza kwa wanawake na wala hawawaui, Ukiona huku nje wanawake wanaendesha ma range, ni either wamenunuliwa katika familia walikotokea, au wamenunuliwa na wanaume zao (except kwa wachache wenye uwezo mkubwa) Siamini kabisa kama hao hawawakosei wanaume zao, So tunabaki pale pale watu wenye asili ya violent ni tatizo.
 
Wanawake waache kutumiwa na maadui zetu - wapinzani wetu, waache tamaa ya kumiliki mali, hizi sheria zilizotungwa kwa shinikizo la hao LHRC (wanaharakati) zimeanza kulipuka kwa vitendo.

Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara - wazazi/walezi kuonya vijana wao bila upendeleo; hivi sasa wazazi wanavutia upande wa mkosaji kisa tu mali.

Hizi sheria zimewapa kiburi wanawake (hizo mahakama ndio janga zaidi), huku wanaume wakiamua kuwa aggressive; mambo hayo ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…