Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Ni kweli hujaona nikisema siungi mkono usaliti kwa pande zote mkuu
Au ulitaka niseme vipi?
Neno usaliti kwenye andiko lako limetokea mara moja tu hapo chini 👇
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa

Na mimi nikaongeza kwa mwanamme ni ngumu kuvumilia usaliti kutoka kwa mwanamke maana hatukuumbwa kuvumilia hivyo vitu labda mambo mengine ,kwahiyo ki-NATURE hivyo vitu haviwezekani ni sawa na kumkataza mwanamke na UREMBO...Nikashauri ili kuhepuka hiyo changamoto ,wanawake wakiwa kwenye uhusiano/ndoa waache umalaya na kudanga na nikashauri kwa mwanamke ukiona mme ni kitombee(malaya) achana naye na si kushindana naye na wewe ukakitembeze.
 
Suala la ajali za barabarani na ukatili wa kijinsia unapaswa kujadiliwa kwa hati ya dharura bungeni. Wanaume pia wana malalamiko yao wayaseme.
W
Suala la ajali za barabarani na ukatili wa kijinsia unapaswa kujadiliwa kwa hati ya dharura bungeni. Wanaume pia wana malalamiko yao wayaseme.
Note✍️.ngoja niandike Uzi ulioshiba kuliomba bunge lijadili na litoke na mazimio
 
My dear nipo shock kwa comment za wanaume nimeishiwa nguvu

Siamini ninachokisoma hapa
Jamii gani hii katili hivi 😭💔💔
 
Yaani mkuu, mtu anaedundwa halafu anabaki huwa simuelewi na sitokaa nimuelewe. Hivi ile hofu tu ya kibinadamu hawana?. Yaani unakaa nyumba moja na mtu anakudunda hadi unazimia? Tena unalala nae kitanda kimoja. Watu wana mioyo jamani.
 
My dear nipo shock kwa comment za wanaume nimeishiwa nguvu

Siamini ninachokisoma hapa
Jamii gani hii katili hivi 😭💔💔
Wamelelewa kwenye huo huo ukatili unategemea nini?. Mtu amekua anashuhudia baba anampiga mama unategemea asije kumpiga mke wake?. Na kuna wanawake pia wanatetea huu ushetani, hapo ndo utachoka zaidi. Mwanamke ukizaliwa Afrika maisha tayari yameshakupiga 1-0, usipojipambania hakuna atakaekupambania.
 
Kwamba tukae bila mahusiano? Au sijakuelewa
 
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa

Nani alisema mwanamke ameumbwa kuvumilia ushenzi wa mwanaume

Mbona mwanamke mwingine akishindwa akaamua kuondoka mnaanza tena lawama

Aibu yenu nyie wanaume wabinafsi
Nashwenda kuwelewa ,umesema wanaume wajifunze kuvumilia usaliti ,Je wanawake nao wajifunze kuvumilia au walipize? Mimi nashauri tena ukiona mme ni malaya dawa ni kuachana naye na si kulipiza kwenda naye sawa ,mwanamme hajaumbwa kuvumilia USALITI the same kwa mwanamke.
 
Jamii zote ambazo wanawake ni tegemezi sana kwa wanaume na ni za kidini sana, GBV iko juu, wanawake wanapigika, wanachapika haswa na kuuwawa zaidi. Iwe katika mahusiano au ndani ya ndoa kabisa.
 
Aiseee hawa watu nakosa cha kusema
 
Soma vizuri nimesema wanaume wajifunze uvumilivu maana yake wawe wakomavu wasikimbilie kuua

Soma vizuri sijasema mvumilie usaliti ila muwe na mioyo migumu na imara kukabiliana na mambo kama hayo sio kukurupuka kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…