Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

Makocha vilaza wengi huko duniani wanakimbilia huku afrika, wazawa wanabezwa
 
Hamna kitu na CV mbovu sana. Sijui kwanini viongozi wa Yanga wameamua kurudi nyuma kwa kuchukua kocha kilaza.

Hapa vipigo mwakani vitakuwa vingi.
 
Ni kweli. Tuombe afanye adjustment ili awe na performance kama ya Nabi. Hata Nabi alifanya adjustment kubwa sana kuwa kama alivyo leo kwani mwazoni alikaribia kufukuzwa akaomba sana apewe muda.
Nabi hakufanikiwa sana. Nadhani fedha ya GSM kupitia kwa Eng Hersi ndiyo chanzo cha ushindi wa Yanga kwenye ligi.

Eng Hersi kanunua sana mechi. Ndiyo maana hawakumzuia Nabi alipotaka kutoka kwa sababu wanajua kuwa yeye siyo chanzo cha ushindi
 
Mkuu mbona CV yake imeshiba? Kapita Wydad Casablanca, Esperance, Mamelodi Sundowns, USMA, De Tunis, hivi hizi team huwa zinazowa matakataka kweli?
Yeye ni moja kati ya matakataka ambayo hizo team zimewahi kufanya makosa ya kumsajili, kisha zikamfukuza.
 
Inabidi asiwe ana lala kuomba Mungu, maana mtangulizi wake kamwachia mtihani mkubwaaaaaa. Ambacho kitakuwa rejea kwa kila kocha
 
Nabi hakufanikiwa sana. Nadhani fedha ya GSM kupitia kwa Eng Hersi ndiyo chanzo cha ushindi wa Yanga kwenye ligi.

Eng Hersi kanunua sana mechi. Ndiyo maana hawakumzuia Nabi alipotaka kutoka kwa sababu wanajua kuwa yeye siyo chanzo cha ushindi
Ndio maana wakabakia na hela kiduuchuu Toka kwenye mapato
Maana pesa ya kuinunua Simba simbilisi,Azam lamba lamba,
Bado pesa ya kuinunua Tp Mazembe,us monastir na USM alger sio mchezo
Ndio maana kule ukoloni Mo hawezi huo ujinga wa kununua timu pinzani
 
Nabi hakufanikiwa sana. Nadhani fedha ya GSM kupitia kwa Eng Hersi ndiyo chanzo cha ushindi wa Yanga kwenye ligi.

Eng Hersi kanunua sana mechi. Ndiyo maana hawakumzuia Nabi alipotaka kutoka kwa sababu wanajua kuwa yeye siyo chanzo cha ushindi
Baadae ukitoka hapa unaenda kulalamika Simba inasajiri wachezaji wabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…