Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!

Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile?

Britanicca.
 
Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?

Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.
 
Miguna Miguna HAKUKIMBIA MAPAMBANO ilibidi serikali im-sadate ili kumtoa Kenya.

Hawa wa kwetu walitimka uwanja wa mapambano wakisaidiwa na waliokuwa wakiwatumia.

Ndio maana MM siku zote alikuwa akitaka kurudi Kenya hata katikati ya uadui mkubwa na serikali ya Uhuru na Ruto.

Dont compare MM na hawa matapeli wetu wa kisiasa.
 
lissu hajawahi kuzuiwa kurudi nchini! amenogewa tu huko aliko na kingine lissu anapenda sana kudeka deka anataka kwanza atekenywe tekenywe ndio aje !
 
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani. Toka nje tukuone kama kidume kweli. Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Duh...!. Mkuu Bila bila, hili la kubwekea uani... hivi hata hapa jf ni uani au hapa ni kibarazani, upenuni kabisa?.
P.
 
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli. Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Liambie kubwa jinga hilo
 
Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?
Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.

Acha uongo, Hivi hujui Miguna na Raila ni maadui?. Miguna ni mfuasi wa Ruto.
 
"Tulitoa onyo la kwanza KWA mhusika juu ya mambo Fulani aliyokuwa anayaratibu,alipotaka KUJUA onyo linatokea WAPI,tukatoa onyo la pili,la tatu, Risasi 16 zikamiminwa""source =de'levis humu JAMVINI!

Kama operation ipo KWA order bas itatekelezwa,kama sio ni matakwa ya mtu binafsi tu haitotekelezwa!!

"Hakuna jambo aliliofanya marehemu BILA maelekezo na order kutoka vyombo vya usalama na ulinzi" source=TumainiEl

Written

Digest if you have the gut!
 
Lisu kanogewa na amstredam!

Lema kanogeea huko Canada!

Wanawaza wakirudi wataishije nje ya ubunge?

Ngoja walelewe kwanza, wakichokwa watarudi tu
 
Back
Top Bottom