Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

Yaani baada na madhila yote aliyopata LISSU bado unamfananisha na huyo miguna miguna.

LISSU aliepitia bonde la uvuli wa mauti eti unamfananisha case yake na miguna

Ramnants wa mZiLaNkeNdE bado wako serikali na wako brainwashed na programed wanaweza mfanya LISSU lolote muda wowote mahali popote nchini.

Wale ambao Wako sour na huu utawala ambao wanatamani kayafa afufuke Leo Ili mioyo yao ipoe.

Jamaa wako ka sleeper cells.

Pengine tishio la maisha yao bado wanaoliona kwa kupewa taarifa nyeti na wasamaria wema.

Halafu anatoke mtu wa mbali huko analeta comparison na mtu kama miguna.

Hamna hoja njooni kivingine.
 
Lisu atarudi 2024 ili kuja kugombra urais,, lema nae atarudi mwaka huo kugombea ubunge,,
Kwasasa hawana kazi ya kufanya huku, hivyo haileti maana waache kazi zao huko nje waje kuwa jobless hapa
kinachonishangaza wanaohitaji sana lissu arudi tz ni wafuasi wa ccm waliokuwa na mahaba mazito sana na sera kandamizi za marehemu jiwe.

upendo huu wanaouonyesha hivi sasa kwa lissu wa kutaka arudi tz, sio upendo wa kawaida, kiasi mpaka sisi wengine tunaogopa.
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!

Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?

Britanicca
KIKOSI KILICHOMPIGA RISASI BADO KIPO
 
Rais Ruto amemkamata Kiongozi aliyekuwa anaongoza kikosi kazi cha kutesa Watu na kukivunja hicho kikosi. Meaning ameonyesha dhamira ya kweli kuheshimu haki za Binadamu. Police bado wanaua Raia..
 
Miguna Miguna HAKUKIMBIA MAPAMBANO ilibidi serikali im-sadate ili kumtoa Kenya.

Hawa wa kwetu walitimka uwanja wa mapambano wakisaidiwa na waliokuwa wakiwatumia.

Ndio maana MM siku zote alikuwa akitaka kurudi Kenya hata katikati ya uadui mkubwa na serikali ya Uhuru na Ruto.

Dont compare MM na hawa matapeli wetu wa kisiasa.
Dr miguna ilibidi athibitiwe kwa utukutu wake lakini si kisheria eti kavunja Sheria

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!

Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?

Britanicca
Kama mna dhamira ya kweli ninyi ccm ukiwepo na wewe msomi wa mokba urusi futeni zile kauli zenu mbili hadharani Kama mlivyotutangazia kwenye mikutano yenu ya kampeni za kuwa :- "polisi wetu hawakosei shabaha kwani tatu TU zingemaliza kazi na Ile ya kumdunga sindano ya sumu"!
Vinginevyo msiwasumbue kuwasemea ilihali na ninyi MMA midomo ya kusema.
 
Unamjua Miguna wewe?
Nani anaweza kumtishia Miguna?
Wanaotishiwa ni hawa matapeli wa kisiasa huku kwetu.
enhee matapeli au sio...bas miguna hajakumbana na bad situations.......lissu ni victim (a living miracle) wa kushambuliwa na idadi kubwa ya risasi na still anaishi....
 
Ahakikishiweje kwa mfano wakati Amiri Jeshi Mkuu kashamwambia arudi,nyie wafuasi wake mlitaka ahakikishiweje inawezekana mna mawazo mazuri ila kuyawasilisha ndio hamjui?

..Lissu ahakikishiwe usalama wake kwa waliomshambulia na waliowatuma kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!

Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?

Britanicca
Kwani kuna mtu aliwafukuza na kawazuia kurudi? Hizo janja janja tu za kusukuma maisha
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!

Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile?

Britanicca.
Miguna aliondoshwa baada ya kutofautiana na Raila na sio vinginevyo
 
Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?

Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.
Raila na Miguna walishatofautiana kitambo sana na ndio maana alipelekwa exile
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana!

Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile?

Britanicca.
Kumbe na wewe ni wale wale
 
Back
Top Bottom