Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

Nchi mbili tofauti. Miguna alienda kwajili ya matibabu? Kwani
 
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli. Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Tena mbwa koko, kizee kinafiki sana,
 
Miguna Miguna HAKUKIMBIA MAPAMBANO ilibidi serikali im-sadate ili kumtoa Kenya.
Hawa wa kwetu walitimka uwanja wa mapambano wakisaidiwa na waliokuwa wakiwatumia.
Ndio maana MM siku zote alikuwa akitaka kurudi Kenya hata katikati ya uadui mkubwa na serikali ya Uhuru na Ruto.
Dont compare MM na hawa matapeli wetu wa kisiasa.
Mi namshauri Lissu aendelee kunyonya kuku kwa mrija.... asije poteza muda kuja kutetea wazinzi na walevi wa Tanganyika.
 
vipi huyo miguna alishawahi kutishiwa kukatishwa maisha walau hata kwa kupigwa rungu
 
vipi huyo miguna alishawahi kutishiwa kukatishwa maisha walau hata kwa kupigwa rungu
Unamjua Miguna wewe?
Nani anaweza kumtishia Miguna?
Wanaotishiwa ni hawa matapeli wa kisiasa huku kwetu.
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Kwa manufaa ya wasomaji wa JamiiForums , je ni kifungu kipi cha sheria za Kenya kinasema kumuapisha rais wa mtaa, rais wa bendi, rais wa wagaga wa kienyeji n.k ni kosa kisheria.

Kwa kuongezea, naipongeza Kenya kwa kutoongozwa na mihemuko hata pale awe rais wa soko la samaki akiapishwa.

Pia vyombo vya habari ziliripoti kuapishwa kwa rais asiye rais wa jamhuri ya Kenya bila kutishwa na huku vyombo hivyo vikaripoti sarakasi hizo za vichekesho kwa kina pia weledi kuangalia je kweli huyu ni rais wa jamhuri ya Kenya au anajifurahisha yeye binafsi Odinga na genge lake.


KUAPISHWA KWA RAIS WA WANANCHI
Dkt Miguna Miguna alikuwa katika mstari wa mbele kwenye maandalizi na uapishaji wa kinara wa NASA kuwa ‘rais wa wananchi’ Januari 30, 2018. Kwa sasa, wametofautiana
Source : Picha na habari picha kwa hisani kubwa ya gazeti la TaifaLeo.

What Next For Raila After His ‘Oath’?​

Published on: January 31, 2018 10:52 (EAT)​

What next for Raila after his ‘oath’?


The oath that NASA Leader Raila Odinga took as the ‘People’s President’ has triggered a litany of legal and political questions, even as his supporters celebrated what they termed a ‘triumph in the quest for electoral justice’.

However, Odinga’s oath was fundamentally different from the procedure prescribed in the Constitution for one to assume the country’s top job.

The oath he took before a mammoth crowd that thronged Uhuru Park grounds was a sharp contrast to the one taken by President Uhuru Kenyatta on November 28th last year, at the Kasarani Stadium

Odinga took one 90-word oath, but as the ‘People’s President’.
In November, Kenyatta took two oaths; the 77-word oath of allegiance and the oath of execution of duties that had 79 words as prescribed in the third schedule of the Constitution.

The oath that Odinga took on Tuesday, was almost a word for word copy of the one prescribed by the Constitution, but the fundamental difference was that he swore to assume the position of the ‘People’s President’ and not the President of the Republic of Kenya, as did Kenyatta two months ago.

While Attorney General Prof Githu Muigai had warned Odinga of dire legal consequences, including treason charges if he was sworn as the President of the Republic, the Tuesday’s 30, event side stepped those fears by amending the oath’s wording.


While his supporters greeted his ‘swearing-in’ with jubilation, Odinga does not have the legal mandate to execute functions of the President as outlined in article 132 of the constitution.
These include nominating and appointing Cabinet Secretaries, Principal Secretaries and Diplomats, addressing Parliament, the power of mercy and authority to confer national honours.

Though he anchored his ‘swearing-in’ on articles one and two of the Constitution, there were specific instruments of power that were missing during Odinga’s oath taking event which include; the ceremonial sword for the Commander-in-Chief, the Presidential standard and seal, while Chief Registrar of the Judiciary and the Chief Justice who are mandated to officiate during such ceremonies were missing.

Though critics have termed Odinga’s swearing in event a charade with no force of law, his supporters await directions from him on the path ahead.

However for the NASA leader, the quest for electoral justice and inclusivity will top his coalition’s push for key amendments to the constitution enacted in 2010.
Source : What next for Raila after his ‘oath’?
 
Lisu atarudi 2024 ili kuja kugombra urais,, lema nae atarudi mwaka huo kugombea ubunge,,
Kwasasa hawana kazi ya kufanya huku, hivyo haileti maana waache kazi zao huko nje waje kuwa jobless hapa
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!

Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?


Britanicca
Mkuu huwa nikiona jina lako kabla ya kuandika huwa nainama kama salamu na tamaduni zetu zilivyo, hii ni heshima nakupa ila kwa hichi unachotaka kukisema basi angalia sana mzee wangu.


Risasi 16 ndani ya mwili wa mwanadmu na akatoka salama hata kama ingekuwa ni wewe lazima ujipange kurudi, Kuhusu Lema pia jeneza lilikuwa mlangoni kwake kabisaa ila Mungu ni mwema.

Kwa level yako hebu jadili mambo magumu yanayolitesa taifa hili lisisonge mbele ili watoto wenu tupate nguvu zaidi badala ya kutukatishaa tamaa
 
Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !

Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!

Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?


Britanicca
Usiwe mpumbavu na mjinga kwa pamoja! Katiba na sheria za Kenya ni tofauti, nalo hili hujui!
 
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli.

Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Ameamua kula matapishi baada ya kuonywa tu na Ndugai.
 

30 January 2018​

Kenya's Raila Odinga self-sworn in as 'people's president '


Holding a green Bible to his right arm and sandwiched by his former aide Miguna Miguna and Siaya Senator James Orengo, Raila recited his ‘oath of office’ before thousands of NASA supporters at Uhuru Park, Nairobi on January 30, 2018.

The controversial 90-word long oath was administered by Ruaraka Member of Parliament (MP) TJ Kajwang and fiery lawyer Miguna Miguna.

Vocal lawyer Miguna Miguna was deported aboard a KLM flight on February 6, days after administering Raila Odinga’s oath at Uhuru Park Nairobi.

The Government said that Miguna violated provisions of section 33(1) and 43(1) of the Kenya Citizenship and Immigration Act, 2011.

Interior Ministry spokesman Mwenda Njoka claimed Miguna lost citizenship when he acquired a Canadian passport in 1988 after his application for a Kenyan one was denied on September 12, 1987.

Justice Chacha Mwita on Friday 14/30/2018 ruled that Miguna Miguna’s birthright is not affected by him holding a Canadian passport and said his rights were violated when the State deported him.

In his ruling, Justice Chacha Mwita awarded Miguna Sh7 Million for violation of his rights adding that citizenship by birth could not be revoked.

Interior CS Fred Matiang'i and Immigration PS Gordon Kihalangwa were ordered to personally pay the money to deter such actions by 'overzealous' state officers.



Uhuru-Raila handshake

President Uhuru Kenyatta and Raila Odinga met in August (2018) at Harambee House and speaking after the meeting, the leaders stated that it was time to bury the hatchet.

Raila stated it was time to unite the nation as diversity had turned out to be a national curse.

His sentiments were echoed by President Uhuru who admitted that the country was greater than any individual.

Since then, political temperatures have gone down as the country continues to heal.
Source : On this day last year Raila Odinga was 'sworn in' as people's president
 
Hawana mvuto tena hao. Hata tangu wamelamba asali wameishiwa credibility ya kuhoji, kukosoa hata kuisema serikali. Zimebaki mbwembe za kudandia matukio tu
 
Watu wanasahau kwamba Miguna aliondoka Kenya kwa masuala ya Uraia na siyo kusalimisha uhai wake.

Wala hajawahi kutuhumiwa kwa kumuapisha Odinga. Sasa unalinganishaje haya matukio mawili yasiyofanana??

Lema aliondoka nchini baada ya kupigwa mijeledi na wale watu wa CCM al maarufu "Watu wasiojulikana".
 
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli.

Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom