britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Miguna Uhaini!Wafuasi wa Jiwe wana hasira bado na Lissu!
Janja janja!.Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?
Britanicca
Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli.Janja janja!.
P
Duh...!. Mkuu Bila bila, hili la kubwekea uani... hivi hata hapa jf ni uani au hapa ni kibarazani, upenuni kabisa?.Wewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani. Toka nje tukuone kama kidume kweli. Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Liambie kubwa jinga hiloWewe Tangu umeitwa Dodoma mpaka Leo hujatoka ndani, mwenzio kapigwa risasi 30+ unajifanya kuchonga. Toka nje tukuone kama kidume kweli. Kati ya watu wanaotakiwa kukaa kimya kuhusu siasa na harakati zake ni wewe maana huna chochote kinachofaa kuitwa ujasiri, umebaki Mbwa anayebwekea uani.
Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?
Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.
Huwezi toboa Kwa uchawa muda umekugomea wasukuma kama wewe sio halisi ni wakuchovya kama yule wa mzenaJanja janja!.
P