Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?


Kwahiyo mtu akikukosea nawe unatenda kosa? Self control yako iko wapi?

Kwahiyo mkeo akiondoka nyumbani akatekeleza watoto na wewe utatafta pa kwenda uwaache?

Yani unajustify makosa yako kwa sababu ya makosa ya binadamu mwingine? Huna Akili ya kujisimamia wewe?
 
Kwa experience yangu ndogo, kuna wanaume ambao kupiga ni hulka yao ambao hawa ni nadra sana kukutana nao yaani katika mtaa mzima wanaweza wasifike watatu

Kuna wengine unakuta amewekeza kwa mtu mmoja, wapole na very faithful halafu unakuta mwanamke anatumia hiyo chance kumnyanyasa maana huwaona mabwege. Hawa mazoba siku wakichoka huwa hawatabiriki reactions zao. Ukisoma comments za watu wanaomjua utaona aliangukia katika group la pili. Alifanya vibaya lakini kwa upande wa pili ni victim pia
 
HATA IWEJE HAKUNA UHALALI WOWOTE WA KUMPIGA MWANAMKE, KAMA MMESHINDWANA KUBALI YAISHE ENDELEA NA MAISHA YAKO, HATA KAMA AMELALA NA MTU MWINGINE NA UKAMMFUMANIA, HATA UKIMPIGA HAITABADILISHA CHOCHOTE, UKWELI UTABAKI PALE PALE KWAMBA AMESHALALA NA MWINGINE, HUTAWEZA KUBADILISHA HUO UKWELI
 

Sijasema huyo Nacky ni mtakatifu. Issue hapa ni mwanaume kumpiga mwanamke. Yani hili la huyu jamaa kumbonda mkewe mbona mnalikwepesha kwepesha kwa hoja za makosa ya mke.

Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna?
 
Mkuu wote ni binadamu na wote tuna damu na nyama, usitende kosa kumuumiza mwingine kila mmoja ana ustahamilivu wake, kama mumeo hakufai ondoka usije kwake kujiegesha upate hadhi ya mke wakati hutimizi wajibu wako, acha wanyukwe kwa sababu kwanza ni wanafiki wanataka ulimwengu uwaone tofauti na walivyo pili wanumiza wengine, unyukwe ujirekebishe au uondoke au uondolewe. Mbona vipoko wanachapwa watoto kwani ni mzazi kashindwa kujisimamia?
 
Jamaa ni kijana mtunza bustani, maboss wanapigana ukute naye anamuogopa kama nini angeweza kweli? Jamaa lenyewe lilivyo katili apati ata uruma juu ya watoto wanavoangaika afu kama anawarudia tena anawafokea masikini vitoto amani imepotea, akuna wa kuwafariji dah ms*en*ge*
 

Akili za kuambiwa changanya na zako. Angalia video hadi mwisho, huyu mwanamke si mara ya kwanza kupigwa. Unajua kwanini?

Anajua kabisa tabia za mpigaji wake. Ndo maana alipokuwa anaondoka alimfuata nyuma sababu anamjua akishacalm down so anajua kabisa hapa “session” imeisha. Halafu mpigaji wa mara moja angeacha watoto walipoanza kulia na kurandaranda hapo ila wala hajali anawafokea.

Halafu ukitenda kosa hata kama umekuwa provoked vipi huwezi kuwa victim. Ndo maana kuna kitu kiitwacho “SELF CONTROL”. Uanaume ni pamoja na kutoyumbishwa na mkeo na maneno yake na ndicho vitabu vya dini vilichomaanisha kusema “ishi na mwanamke kwa akili” au mnadhani ni kuweza tu kuficha michepuko na kujitetea ukikutwa na SMS za mahaba?
 
Sure Mimi nakiri nilishapiga mwanamke kutokana na mdomo wake
 
Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna
Haswaaa! Maana sasa naona baadhi ya watu wanahalalisha kua kupiga ndio suluhisho
 
Mwanaume akikuambia ooh mke wangu nilimuacha alikuwa Malaya usimuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wanaume awafai ata jina la mbwa maana mbwa ana huruma unalala ndani ye yuko nje anakulinda.....ukute uyo kaka ni malaya shetani afuati labda ikatokea tu mwanamke akapata asira akachepuka siku moja ama katoka na mtu tu wakapata dinner ndo ikawa ivo
 
Zurie,naamini haumaanishi ulichoandika hapa.
 
Unadhani wale wanaofungwa kwa kuua adhabu zao zinarudisha marehemu waliokufa ???




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo lakini inapunguza machungu kwa hawa kaka zetu.
 
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa

 
Wanaume wengi busara zenu ni nguvu akili hamtumii.....ila ujue mwanamke akiamua awe mtulivu na mdomo wake usikukere pamoja na mabaya yako anaweza kukuua anakuchekea
 
 
Umalaya tu.Wewe mke wa mtu unaenda dinner na mwanaume mwingine asiyejulikana na mumeo unaitaka ndoa kweli?
 
Nimeshuudia wanawake wa 5 wakipigwa live huyu hajapigwa jamani kapapaswa nyie kuna wanaume wanabonda aisee, kati ya hao watano kuna mmoja nilishindwa kuvumilia angeuwawa nikavaana na mumewe mpaka leo nina ngeu kwenye jicho sababu ya kuokoa asipasuliwe bandama mi pia na hasira ila siwezi kupiga mwanamke, yani mtu anakupa utamu unampiga?! Uuajiii??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya watu huwa ni magumu sana
siwezi tia neno maana mimi mwenyewe nishawahi mpasua mwanamke mmoja na kila siku namuomba Mungu nisije nikamgusa mtoto wa watu tena

Hiyo Video jamaa kampapasa tu hiyo mwanamke
Halafu kwanini hakuingia kwenye DVR afute hiyo clip wakati alijua kuna CCTV?

Hizi ndoa zina mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…