iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
Mwanaume yeyote anaye nyanyua mkono kumpiga mkewe/demu wake atakuwa na mapungufu katika malezi au mpaka yeye binafsi. Kama mapenzi yanazingua chomoa weka chuma kipya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikwamba, kulumbana siwezi,, Nahitaji niyafurahie maisha yangu, DAIMA MWANAMKE HATOKAA NA HATOWEZA KUA CHANZO CHA STRESS KWANGU kwa namna moja au nyingine.Unaumwa wewe
upigaji huu afu anaenda kusema alisurvive toxic relationship?..wkt he seems to be the toxic one here
Alafu hyo unayemuacha unamuwekea vikwazo vya kiuchumi tuMwanaume yeyote anaye nyanyua mkono kumpiga mkewe/demu wake atakuwa na mapungufu katika malezi au mpaka yeye binafsi. Kama mapenzi yanazingua chomoa weka chuma kipya.
Kuna wengine baadhi yenu wanatoka nje ya ndoa wasaliti huoni pia wanatutesa wanaume na bado anakuongelesha kwa dharau, hivi unajua hasira inayotokana na kutukanwa inavyoumiza kichwa?Wanaume bana na we ukikosea mkeo akupige pia?..
no justification
Ndio wanavyokuaga hawa, sasa keshachakazwa, Kama ni Wanaume keshatembea nao mpaka K imeota sugu. Na mbaya zaidi hamna aliyefanya naye kitu cha maana, sanasana katumika weee..
Hamna kipya cha kujadili mzee ukiona hivyo tuna review24/03/2015 video ilirekodiwa
Kwaiyo ndio tunaijadili mwaka 2020
Kati ya wanawake na wanaume nani anaongoza kwa usaliti?.Kuna wengine baadhi yenu wanatoka nje ya ndoa wasaliti huoni pia wanatutesa wanaume na bado anakuongelesha kwa dharau, hivi unajua hasira inayotokana na kutukanwa inavyoumiza kichwa?
Aiseee , nisiende mbali,,, binafsi Mimi hapa, ukijua Umenifanya kosa km LA usaliti. Na nimejua.Wanaume bana na we ukikosea mkeo akupige pia?..
no justification
Mbona mnawakata wanaume Mashine ??? Lkn hatusemi.Kwa hio wewe kusaliti halali ila ukisalitiwa unataka uvunje mtu miguu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tunakoelekea mtapigwa tu
Kuna makosa na mikwaruzano ambao kazi yake nikunogesha mapenzi....Yaan hapa kikubwa , Kila MTU aende kufanya kimpacho amani lkn sio kuvumilia Usaliti....ukiona mwanaume kainua mkono wake kukushushia kichapo...JITAFAKARI SANA ULIPOKOSEA.Wewe hufanyagi ujinga na upuuzi kwa mwanamke?.
wewe hujawahi mkosea mwanamke?..
wanaume ni wengi pia
Hio sio hoja
Kuna tatizo hapaKati ya wanawake na wanaume nani anaongoza kwa usaliti?.
ukisaliti na wewe upigwe kama mwizi?.
Mi mwenyewe apa sjakuelewa 😛 😛 tufanye ivi, hatujaelewana!Hata sijakuelewa hivi kama ...nahisi hii kitu personal kwako we ndo huyo dada nini na video za 2015 huko..nasikia clouds mmeamua peleka majesh kabisa kuamsha waliolala
Sitetei usaliti kwa sisi wanaume... Usaliti NI usaliti tu nani kosa .Ss mume haumizi?.
the only way u can understand maumivu ya usaliti is if someone cheats back...jino kwa jino
km usaliti unajua ni mbaya mbona unamtendea mwenzako?.u deserve payback
Njoo nkuweke ndani tudundane basii ;-)Mi mwenyewe apa sjakuelewa 😛 😛 tufanye ivi, hatujaelewana!
Double standardsAdhabu ya Usaliti, sio kulipiza Usaliti....mwanaune akisalit NI sababu ya Tamaa tu lkn mwanamke akisaliti hjikuta anabadilika mpaka nyumban.Sitetei usaliti kwa sisi wanaume... Usaliti NI usaliti tu nani kosa .
Lkn ukweli nikwamba , Usaliti aufanyao mke , haaaaaa hahahaha KAMWE HAUSTAHILI MSAMAHA.