Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Ninaweza kua naumwa ndio. Lkn Haya nimeyasema toka kichwan mwangu, moyoni mwangu nakila mahali pa Mwili wangu.
Unaumwa wewe

upigaji huu afu anaenda kusema alisurvive toxic relationship?..wkt he seems to be the toxic one here
Nikwamba, kulumbana siwezi,, Nahitaji niyafurahie maisha yangu, DAIMA MWANAMKE HATOKAA NA HATOWEZA KUA CHANZO CHA STRESS KWANGU kwa namna moja au nyingine.


Yapo nitakayovumila sababu hayaniathiri moja kwa moja.


LAKINI kwa jambo linaloniathiri moja kwa moja, UTASEPA TU, TENA UKIJUA UNASEPA, BORA USEPE MAPEMA KABLA HATA SIJAKUAHUSHIA KIPIGO ,WEEE SEPA.




Huwezi nifanyie UJINGA NA UPUUZI, UKATEGEMEA NITACHEKA CHEKA NAWEWE ???



wanawake ni wengi sana, wamejaa, yaan niwengiiiiiiiiiiii mpaka wanawamwagikia !!!
 
Wanaume bana na we ukikosea mkeo akupige pia?..

no justification
Kuna wengine baadhi yenu wanatoka nje ya ndoa wasaliti huoni pia wanatutesa wanaume na bado anakuongelesha kwa dharau, hivi unajua hasira inayotokana na kutukanwa inavyoumiza kichwa?
 
Ukiona hivyo Sahv ashapigika kiuchumi
Sahv anatafuta huruma

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wanavyokuaga hawa, sasa keshachakazwa, Kama ni Wanaume keshatembea nao mpaka K imeota sugu. Na mbaya zaidi hamna aliyefanya naye kitu cha maana, sanasana katumika weee..


Sasa naona mwamba, Kainuka tena, yuko vzuri, a natafuta namna ya Kumshusha ..




No matter what, Bro Mihayo anatakiwa asiwe na moyo mwepesi ,haya nimapito ,YATAPITA TU
 
Kuna wengine baadhi yenu wanatoka nje ya ndoa wasaliti huoni pia wanatutesa wanaume na bado anakuongelesha kwa dharau, hivi unajua hasira inayotokana na kutukanwa inavyoumiza kichwa?
Kati ya wanawake na wanaume nani anaongoza kwa usaliti?.

ukisaliti na wewe upigwe kama mwizi?.
 
Ni kwasababu hamna nguvu ya kupiga, Ila kuna nyakat huwa unapenda kupiga .. Hata ivo adhabu zenu kwetu tunazijua na bora hata mngekua mnatupiga nasio kufanya ambavyo mnatufanyia.
Wanaume bana na we ukikosea mkeo akupige pia?..

no justification
Aiseee , nisiende mbali,,, binafsi Mimi hapa, ukijua Umenifanya kosa km LA usaliti. Na nimejua.


Kusanya vilivyo vyako, ondoka . usisubiri nikulazimishe Uondoke .


Na wewe siku ukigundua nmekusaliti , usihangaike, Niache ,ondoka zako kama ni Mali tugawane LAKINI KAMWE ,usitumie kukusaliti kwangu, nawewe unisaliti km sehem yakulipa kisasi.

Alafu nikajua, ukategemea ukisema mbona nawewe ulifanya ..weeeeeeee nitakuvunja miguu yako.....


Sepa mapema.
 
Hapana sio halali , ndio maana ninaruhusu uchukie hatua unayoweza lkn sio kuchukua hatua inayoniathiri kiakili NA kimwili...... Umenisaliti nmejua Fanya mpango wa kuondoka sababu SITOKAA KUKUFURAHIA nakila nitakapokuona NITAKUA NAHASIRA NAWEWE......nmekusaliti pia Fanya hatua ya Kuniacha au niadhibu kwa njia nyingine itakayonijutisha sana lkn Sio Kunisaliti km kisasi .
Kwa hio wewe kusaliti halali ila ukisalitiwa unataka uvunje mtu miguu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

tunakoelekea mtapigwa tu
Mbona mnawakata wanaume Mashine ??? Lkn hatusemi.


Asikuambie MTU aisee.... MKE ANAUMIZA SANA ,MKE ANAUMIZA MNOOO.
 
Carlos The Jackal,
Ss mume haumizi?.

the only way u can understand maumivu ya usaliti is if someone cheats back...jino kwa jino
km usaliti unajua ni mbaya mbona unamtendea mwenzako?.u deserve payback
 
Haswaaa wanaume ni wengi sanaaaaaa ilo sipingi...na wanawake ni wengi sanaaaaaaaaaaa
Wewe hufanyagi ujinga na upuuzi kwa mwanamke?.

wewe hujawahi mkosea mwanamke?..

wanaume ni wengi pia
Hio sio hoja
Kuna makosa na mikwaruzano ambao kazi yake nikunogesha mapenzi....Yaan hapa kikubwa , Kila MTU aende kufanya kimpacho amani lkn sio kuvumilia Usaliti....ukiona mwanaume kainua mkono wake kukushushia kichapo...JITAFAKARI SANA ULIPOKOSEA.




Mimi naamini MSALITI HASAMEHEWI WALA HASTAHILI MSAMAHA.
Na ikiwa ataniomba ushauri, mwanamke waivo ningemshauri aende kwa bwanake namba mbili tu.
 
Hata sijakuelewa hivi kama ...nahisi hii kitu personal kwako we ndo huyo dada nini na video za 2015 huko..nasikia clouds mmeamua peleka majesh kabisa kuamsha waliolala
Mi mwenyewe apa sjakuelewa 😛 😛 tufanye ivi, hatujaelewana!
 
Adhabu ya Usaliti, sio kulipiza Usaliti....mwanaune akisalit NI sababu ya Tamaa tu lkn mwanamke akisaliti hjikuta anabadilika mpaka nyumban.
Ss mume haumizi?.

the only way u can understand maumivu ya usaliti is if someone cheats back...jino kwa jino
km usaliti unajua ni mbaya mbona unamtendea mwenzako?.u deserve payback
Sitetei usaliti kwa sisi wanaume... Usaliti NI usaliti tu nani kosa .



Lkn ukweli nikwamba , Usaliti aufanyao mke , haaaaaa hahahaha KAMWE HAUSTAHILI MSAMAHA.
 
Adhabu ya Usaliti, sio kulipiza Usaliti....mwanaune akisalit NI sababu ya Tamaa tu lkn mwanamke akisaliti hjikuta anabadilika mpaka nyumban.Sitetei usaliti kwa sisi wanaume... Usaliti NI usaliti tu nani kosa .



Lkn ukweli nikwamba , Usaliti aufanyao mke , haaaaaa hahahaha KAMWE HAUSTAHILI MSAMAHA.
Double standards
 
tukio lilitokea mwaka 2015.
wakati mnaendelea kulijadili hilo tukio, mmejuliza mahusiano yao kimapenzi hivi sasa yapoje?.

vipi kama walishatatua matatizo yao na wanaendelea na mahusiano yao kama kawaida?.
 
Back
Top Bottom