Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Kwani Mayahudi wanajua Wakristo....?!Ukristo wao ndiyo umefanya wauwawe hawa vijana. Waarabu wanaudini sana. Siyo waarabu wa Tanzania lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mayahudi wanajua Wakristo....?!Ukristo wao ndiyo umefanya wauwawe hawa vijana. Waarabu wanaudini sana. Siyo waarabu wa Tanzania lakini.
Una ushahidi kuwa katekwa na Hamas?!Ila Tanzania tunatukuza udini kuliko utanzania wetu. Mtanzania katekwa na Hamas kauawa mikononi mwa Hamas. Mtu anawatetea Hamas na kumuona mtanzania mwenzake hafai. Aiseeh!
Wakristo wangapi wanaishi Palestina miaka kwa miaka....tena wakiwa na FurahaTofautisha nyakati za sasa na enzib za cold war, kwa akili zako finyu unaona Islamic terrorist wana haki ya kuwaua watanzania wasio na hatia kwa sababu ni wakristo?
Balozi wa Palestina anatokana na Serikali ya PLO ambayo ni Serikali isiyokubaliana na Siasa na harakati za Hamas inayoongoza eneo la GhazaKwa kweli ubalozi wa Palestina ufutwe haraka sana. Hauna faida kwetu. Kuna siku unaweza kuja kutumika kutuletea magaidi nchini.
Huwa sifanyi mijadala na Mazwazwa, byeTofautisha nyakati za sasa na enzib za cold war, kwa akili zako finyu unaona Islamic terrorist wana haki ya kuwaua watanzania wasio na hatia kwa sababu ni wakristo?
Kweli waislam hamna akili sasa hako ka clip unakaamini
Watoto wenye mabomu
Wewe ni mpumbavu
Huyu Ni kijana wa ukoo wetu kifo chake kimenuuma sana kupoteza huyu nyangulo mdg kbsa
Natoa wito Israel iwaangamizee magaidi wote pale gaza pasikalike Tena
Bila shaka Omughaka atakuwa sahihi kuwa "ngozi nyeusi ni laana katika sayari hii" sababu badala ya dini kutukomboa ndizo zimetujengea uhasama sisi kwa sisi Taifa moja.Bado kuna wapumbavu wanashangilia hii vita
Vita si vya kufurahiwa hata kidogo, visikiage tu !!Bado kuna wapumbavu wanashangilia hii vita
Ndo maana sihuzuniki tena nasheherekea mitoto na mijawanake miarabu ya kipalestina inavyouliwa. Tena Israel inatuangusha idadi ya vifo ya mitoto na mijawanake ya kipalestina ingetakiwa ifike laki tano sasa. Yafe tu yote NO MERCY.View attachment 2842795
View attachment 2842761
Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas 7 Oktoba 2023.
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ambapo ameeleza kuwa "kwa sasa Serikali inaendelea na mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na mwanafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali nchini Israel, kuungana na Balozi wetu na maafisa waliopo huko, kukutana na kuzungumza na mamlaka za nchi hiyo ili kupata taarifa za ziada."
Joshua alikuwa miongoni mwa vijana wa Kitanzania 260 waliokwenda Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo, chini ya mpango wa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Yeye na mwenzake Clemence Mtenga walitekwa na kuuwa na kundi hilo mara baada ya kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel, ambayo Mtenga alizikwa Novemba 28 mwaka huu katika Kijiji cha Kirwa, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro.
Tukio hilo lililenga waisrael wote halikulenga wayahudi pekee !! walengwa walikuwa raia wote wa Israel
hatuui bila sababu k…enge weweAnza basi wewe hapo kuonyesha mfano kwa kuuwa makafir waliokuzunguka ambao ni jirani zako ili tujue kweli upo serious ewe key board warrior