MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #301
Propaganda za kimkakati kuwapata kina mbuzi mbuzi kama huyu MK254
Uzuri Tanzania imeonyesha msimamo wake dhidi ya upuzi wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Propaganda za kimkakati kuwapata kina mbuzi mbuzi kama huyu MK254
Hapa inatakiwa tutumie akili zetu vizuri sana kwa kujiuliza masuali kidogo ili tukubali kuliko kukubali kile tunachoambiwa.
- Kwa siku zote hizo, jee HAMAS waliuhifadhi wapi huo mwili wakati hospital zote zimeshapigwa makombora.
- Jee kuna mkataba wa hivi karibuni kati ya HAMAS na Israel wa kubadilishana maiti.
- Hiyo maiti, Israel walikabidhiwa lini na HAMASI.
Dumb dumberSasa ndio useme wameteka maiti !? Wa kwanza walimpata wapi kama alitekwa ?
Ninachokataa hakuchukuliwa mateka hawa wote walikufa kweny shambulia la disco sijui mziki .
You guys mnaweka dini na chuki mbele kuliko uzalendo. Unadhani kijana wa watu alikuwa spy? Ili kujustify kifo chake? Jitathmini sana ndugunashukuru umeandika jambo la ukweli, waisrael wanaingiza maspy kwa kutumia raia wa nchi nyingine halafu baadae wanatumika kwa propaganda.
Asante kwa kuniondolea mkosi wa kujadiliana na satanic...Huwa sifanyi mijadala na Mazwazwa, bye
Nyie mnawashabikia hamas kwa sababu za Udini ila wao wanawadharau kwa sababu ya uweusi wenuWakristo wangapi wanaishi Palestina miaka kwa miaka....tena wakiwa na Furaha
Semeni tu ukweli
Israel iliwatoa chambo Wabongo kwa tamaa au ujinga wao.
Kimsingi HAMAS waachie mwili wa Mtanzania arejeshwe na kuzikwa kwao, la sivyo tutaandika nadharia nyingi sana za kutaka kuwafanya HAMAS waonekane malaika kisa dini.
Uzuri Tanzania imeonyesha msimamo wake dhidi ya upuzi wenu Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Huna unachokijua mpuuziYou guys mnaweka dini na chuki mbele kuliko uzalendo. Unadhani kijana wa watu alikuwa spy? Ili kujustify kifo chake? Jitathmini sana ndugu
Wewe una uhakika gani na taarifa ulizonazoMnapotoshwa kaka
Kwahiyo wanaitunza kwenye barafu? Kwa faida gani? Maana huko umeme WA shida now.
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.
Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7 na mwili wake ulichukuliwa na Hamas hadi Gaza.
Chaimi alikuwa sehemu ya kikosi cha dharura ambacho kilitumwa kusimamisha shambulio la Hamas hadi waweze kuongezewa nguvu.
Chaimi aliondoka asubuhi hiyo baada ya kubainika kuwa Hamas wamejipenyeza Israel na kuwaacha mkewe na watoto nyumbani.
Waliporejea kikosini, Chaimi hakuwa miongoni mwao. Kikosi hakikuweza kumwambia mkewe mahali alipokuwa.
Chaimi alikuwa mkazi wa kizazi cha tatu wa Nir Yitzhak na mzao wa waanzilishi wake. Ameacha mke na watoto watatu.
Kumbukumbu yao iwe baraka
Mollel mwanafunzi wa Kitanzania wa kilimo alikuwa amewasili Israel wiki mbili tu kabla ya Mauaji ya Oktoba 7.
Mollel alikuwa akifanya kazi huko Nahal Oz kama mfugaji wa ng'ombe wa maziwa na alikuwa kazini siku ya mauaji hayo.
Baba yake alijulishwa usiku wa kuamkia leo juu ya hatma ya mtoto wake, inasemekana haamini na ameuliza chanzo cha habari hiyo.
Babake Mollel anawasili Israel usiku huu akiandamana na wawakilishi wa wizara ya mambo ya nje, kwa mujibu wa Kituo cha Wahamiaji na Wakimbizi.
UPDATE:
Kupitia Mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amethibitisha taarifa hii.
Makamba ameandika “Tumejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma chini Israel, na ambaye tulipoteza naye mawasiliano tangu tarehe 7 Oktoba 2023, na ambaye Serikali imekuwa inafanya jitihada kubwa kupata taarifa zake tangu wakati huo, aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas mnamo tarehe 7 Oktoba 2023. Nimeongea na Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua, kuhusu ujumbe huo wa Serikali ya Israel.
Tunaendelea na mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na manafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali nchini Israel, kuungana na Balozi wetu na maafisa waliopo huko, kukutana na kuzungumza na mamlaka za nchi hiyo ili kupata taarifa za ziada. Kwa ridhaa ya familia, na itakapobidi, tutatoa taarifa za ziada katika siku zijazo.”
Wamewaua ili iwejeView attachment 2841994
Una elimu ila hutaki kuitumia ,soma kwanza then utoe maoni..
Hao ndugu zako wa migombani wote wameuliwa na Israel huu ndio ukweli mchungu.
Maiti ya kwanza waliipataje ? Maiti hii wamejuaje ? Kama kweli wana access na yanayoendelea kwa mateka kwa nn wasiende kuokoa kama tunavyoambiwa .
Short and clear ndugu zako wameuliwa na Israel ,yule mmoja alikuwa mtu kushinda naa rosari shingoni lazima israel wamlambe.
Kama mnavyokanyagana Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
Mud alikuwa tapeli kama wanaojiita mitume kwa sasa ,sio kutoka kwa mungu otherwise ni mungu mwingineوَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
vipi wenye akili wanawapeleka mabinti zao arabuni wakawe watumwa na kulishwa makombo kunyang'anywa hati zao za kusafiri na unyama wanafanyiwa na serikali za kiislam zinafumba macho..Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.
, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.
Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?
Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Kwa hoja zinazotolewa na wa Tz tena wanaokaa dar kweli nchi ina Safari ndefu.