cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Wakristo wangapi wanaishi Palestina miaka kwa miaka....tena wakiwa na Furaha
Semeni tu ukweli
Israel iliwatoa chambo Wabongo kwa tamaa au ujinga wao.
Mkuu Abuu: Hata kama una mapenzi na Hamas wala si jambo baya kabisa, ujinga upi waliofanya hao vijana wa Kitanzania? Wako Watu Wa mataifa mengi walofariki na kutekwa kama Hostages...Walikuwepo Warusi....watu toka Thailand nk....Nadhani Tanzania kuna watu kama hao 260 Israel...
Support Hamas kadri unavyoweza Mkuu, but be logical, na kujua kwamba vikana hao ni katika harakati za kutafuta maisha tu, hivyo unaposema ni chambo na wajinga, basi unailaumu serikali ya Tanzania pia iliyopokea hizo Scholarships.