Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Wakristo wangapi wanaishi Palestina miaka kwa miaka....tena wakiwa na Furaha

Semeni tu ukweli
Israel iliwatoa chambo Wabongo kwa tamaa au ujinga wao.

Mkuu Abuu: Hata kama una mapenzi na Hamas wala si jambo baya kabisa, ujinga upi waliofanya hao vijana wa Kitanzania? Wako Watu Wa mataifa mengi walofariki na kutekwa kama Hostages...Walikuwepo Warusi....watu toka Thailand nk....Nadhani Tanzania kuna watu kama hao 260 Israel...

Support Hamas kadri unavyoweza Mkuu, but be logical, na kujua kwamba vikana hao ni katika harakati za kutafuta maisha tu, hivyo unaposema ni chambo na wajinga, basi unailaumu serikali ya Tanzania pia iliyopokea hizo Scholarships.
 
vipi wenye akili wanawapeleka mabinti zao arabuni wakawe watumwa na kulishwa makombo kunyang'anywa hati zao za kusafiri na unyama wanafanyiwa na serikali za kiislam zinafumba macho..

Waislam wameambiwa wakikwama kiimani wawaulize watu wa kitabu wayahudi na wakristo hivyo waislam ni wapumbavu tokea enzi za mtume wao mudy
Usijidanganye kijana, weka ushahidi wako tukupe darsa, wacha porojo zako.
 
Kwa hoja zinazotolewa na wa Tz tena wanaokaa dar kweli nchi ina Safari ndefu.

Hawa nao wanakaa dar?

IMG_1567.jpg


Mmeaminishwa taifa la Mungu siyo?

Ama kweli:

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
 
Na huenda sababu ya kuuawa ni kutokuwa wafuasi wa dini ya mnyaazi, halafu kuna watu humu wamejivika kuwa watetezi wakuu wa Hamas dhidi ya kile walichokifanya kwa waisraeli na wageni walipo Isreal. Wale wanazuoni akina Shivji waje watetee na hili...​
 
Na huenda sababu ya kuuawa ni kutokuwa wafuasi wa dini ya mnyaazi, halafu kuna watu humu wamejivika kuwa watetezi wakuu wa Hamas dhidi ya kile walichokifanya kwa waisraeli na wageni walipo Isreal. Wale wanazuoni akina Shivji waje watetee na hili...​

Kuna ukweli ndani yake.....Maana wale mateka wa Thailand ilibidi Waislamu wa Thailand waende Qatar kufanya separate negotiation ili Wa thailand waachiliwe

Source;

 
Kimsingi HAMAS waachie mwili wa Mtanzania arejeshwe na kuzikwa kwao, la sivyo tutaandika nadharia nyingi sana za kutaka kuwafanya HAMAS waonekane malaika kisa dini.
Waambieni idf wakauchukue si hamas inazidi kusalimi amri
Hamas kundi teule
 
Angekua Mwislam, nadhani asingeuwawa!

Wangemuuliza tu "Soma Alifu.....!'

Na yeye angeendelea tu " Bhe,, the..,......Zali..,....!"

Baadaye wangesema "Takbirrr....!" angeitikia " Allah akbar....!"

Wangemwacha...!

Tatizo alikua Mkristo hafu Ngozi Nyeusi.

Futa hii comment, unajidhalilisha tu
 
Majitu hayajitambui haya
Nyerere alikuwa na dini yqke ila hakuwathamini kwa ushenzi wao na hakuwataka kabisa
Leo yamejazana mashogo eti ndio yanajitokeza majitu ooh taifa teule
Teule la kuoana wanaume
Bunge linapititsha akifiwa shoga anakuwa widower na analipwa shoga kawa mjane
Huu upumbavu wanaukubali na wanaona sifa kuwashabikia

Una mito yote hiyo unashindwa kuitumia ni akili au matope
Umasikini wa akili ni mbaya sana asikuambie mtu
Hapo unajiona umeongea point kinoma, et una mito unashindwa kuitumia😂😂
 
Tuliambiwa walienda kusoma kumbe ni wanajeshi, mimi nilisema mwanzo hao wa Tanzania walienda kufanya nini camp ya jeshi, sa wamesema wenyewe ni mwanajeshi
 
Mabo
RIP, mtanzania mwenzetu.... Ila Isreal ndo imesababisha hao matekwa wasio kua na hatia kufa inarushwa mabomu hovyo na kuua watu wake waliko fichwa, majuzi tu wanajeshi wa Isreal 10 walikufa, isreal imexhanganyikiwa kuhusu hiyo vita.
Marocket ya Hamas hamyaoni? Au kisa waisrael wameweka Iron dome?
 
Hapo unajiona umeongea point kinoma, et una mito unashindwa kuitumia😂😂
Ungefikiri nje ya box ungejiona aah bora nikae kimya tu hapo

Sasa mito 19 hata kutumia kama usafiri mmeshindwa wakati wazungu ndio ilikuwa vyanzo vya usafiri kabla hata ya boat wala magari

Wewe mwenye akili unaona uko sawa kabisa kuandika hayo
 
Back
Top Bottom