Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Magaidi ya kizayuni yamekatisha uhai wa kijana
Israhell ilaaniwe nakila mpenda amani haki na utulivu
 
Mnaosema kauliwa na Hamasi mlikuwepo mkaona haswa Hamasi wanamuuwa?

Au ndio ile ile nyi bo ya kanisani Paulo alimuota Yesu afu akawa Mtume 😄
 
Ndiyo ni maadui wao.yaani mtu anakuja kwenu alafu anachukua kwa nguvu kilicho chako huku anakuua na kukuumiza?lazima chuki itengenezwe hapo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Daah kumbe ilikuwa hivi?
 
It make sense
 
Tumia akili hata kidogo wewe,,,hukusikia hamas walivyokuwa wanataka kubadilishana wafungwa wa kipalestine dhidi ya maiti hadi Israel ikaona bora uendelee na vita?
 
Approach yao ya kuwa aambush waisrael ni kosa kubwa sana maana wao wao ndo wanopoteza , wameuawa zaidi ya elfu 20 n, zaidi ya elfu 40 wamefukiwa knye vifusi bado sana , yale majengo najiuliza hasara yake zaidi ya WW 2
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
SUA inahusika na hili la kutuma wanafunzi wakakamue mbuzi na ng'ombe kwa 100%


Mtu ana degree halafu unampelekea akapalilie mashamba ya mboga huku ukidanganya unampeleka kusoma mafunzo kwa vitendo.
 
Tumia akili hata kidogo wewe,,,hukusikia hamas walivyokuwa wanataka kubadilishana wafungwa wa kipalestine dhidi ya maiti hadi Israel ikaona bora uendelee na vita?
Hiyo taarifa ipo wapi?
Kuwa na akili hoa Hamas walianza lini kushikilia maiti !?

Yaani katika vitu mtu wamuue halafu wabebe mzogo ,una akili kweli?
 
Niga alienda zake kutafuta hana hili wala lile…hajui hata historia yenyewe ya ugomvi
 
RIP Joshua,,,,wamemuua bila hata kosa inasikitisha sana,,,wabongo waliobaki bora warudishwe tu,,,huko sio salama kabisa sasa,,,na WaAfrika tulivyokua hatujifunzi Kenya na Malawi wametuma watu wao huko tena,,,East Africans tunapenda kushoboka na hawa watu,,,,hizo ngozi nyeupe hazijawahi na hazitawahi kumpenda MuAfrika,,,
 
Ni kitu kinanikera sana kuithaminisha haki ya kuishi kwa dini au rangi ya mtu. Kwamba ufe au upone inaamuliwa na dini au rangi yako. Hapo ndio nachukia mno itikadi kali katika dini.
Wewe lazima utakuwa shoga tu.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…