Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Magaidi ya kizayuni yamekatisha uhai wa kijana
Israhell ilaaniwe nakila mpenda amani haki na utulivu
Israhell ilaaniwe nakila mpenda amani haki na utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya wewe Bibi, umeona disco hapo ?Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Tena wakisema kafiir,kafiir allahu akbar walipomaliza.Nimeona clip akishambuliwa kwa risasi, aisee inauma mno mno mno jamani dah!
Ndiyo ni maadui wao.yaani mtu anakuja kwenu alafu anachukua kwa nguvu kilicho chako huku anakuua na kukuumiza?lazima chuki itengenezwe hapo.Tatizo wapalestine wanajazwa chuki za itikadi kali kwamba yahudi ni adui wao na anapaswa kuuwawa. Wakibadili huu mtazamo wa kihayawani wataishi kwa salama bila tatizo.
Kwa hili la kumuua huyu mtanzania ni ameponzwa na rangi na dini yake (ukristo). Ni ugaidi wa kidini unaojificha kwenye harakati za kudai ardhi.
Daah kumbe ilikuwa hivi?Kupitia Mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amethibitisha taarifa hii.
Makamba ameandika “Tumejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma chini Israel, na ambaye tulipoteza naye mawasiliano tangu tarehe 7 Oktoba 2023, na ambaye Serikali imekuwa inafanya jitihada kubwa kupata taarifa zake tangu wakati huo, aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas mnamo tarehe 7 Oktoba 2023. Nimeongea na Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua, kuhusu ujumbe huo wa Serikali ya Israel.
It make senseWameuliwa Tangu oktoba 7 ,eti Hamas wamechukua miili yao na kukaa nayo mpaka leo ...Huu ujinga labda asiyejua kusoma ndio anaweza kuelewa .
Yaani Hamas kukamata mateka waache wazima wachukue miili ya waliokufa tangu oktoba 7 😅😅😅..
Dead bodies are everywhere na zinaachwa kusambaa watu waje kuokota maiti .
Simple ni kwamba israel wameua watanzania wote wawili....walichoandika labda uwe mjinga ndio utakubali .
Yaani mtu kauliwa oktoba 7 wao Hamas washikilie miili ya hao maiti kwa miezi 2 ,ili wapate nn tena?😅😅
Tumia akili hata kidogo wewe,,,hukusikia hamas walivyokuwa wanataka kubadilishana wafungwa wa kipalestine dhidi ya maiti hadi Israel ikaona bora uendelee na vita?Wameuliwa Tangu oktoba 7 ,eti Hamas wamechukua miili yao na kukaa nayo mpaka leo ...Huu ujinga labda asiyejua kusoma ndio anaweza kuelewa .
Yaani Hamas kukamata mateka waache wazima wachukue miili ya waliokufa tangu oktoba 7 😅😅😅..
Dead bodies are everywhere na zinaachwa kusambaa watu waje kuokota maiti .
Simple ni kwamba israel wameua watanzania wote wawili....walichoandika labda uwe mjinga ndio utakubali .
Yaani mtu kauliwa oktoba 7 wao Hamas washikilie miili ya hao maiti kwa miezi 2 ,ili wapate nn tena?😅😅
Approach yao ya kuwa aambush waisrael ni kosa kubwa sana maana wao wao ndo wanopoteza , wameuawa zaidi ya elfu 20 n, zaidi ya elfu 40 wamefukiwa knye vifusi bado sana , yale majengo najiuliza hasara yake zaidi ya WW 2Hata ingekuwa wewe unawekwa kambi ya mateso kwa miaka 75 ungestahamili mpaka lini?
Hao Watanzania wakatafutwe hapa kwenye mafriji. Tujiulize, ikiwa mazayuni pamoja na kulindwa mataifa yenye nguvu kubwa duniani yanashindwa kuzuwia vifo vyao, wataweza kuwalinda Watanzania wawili waliokuwa "at the wrong place at the wrong time"?
Tusiongee hisia za kijinga, tuongee uhalisia:
View attachment 2843720
SUA inahusika na hili la kutuma wanafunzi wakakamue mbuzi na ng'ombe kwa 100%Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?
Inaumiza sana.
Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Hiyo taarifa ipo wapi?Tumia akili hata kidogo wewe,,,hukusikia hamas walivyokuwa wanataka kubadilishana wafungwa wa kipalestine dhidi ya maiti hadi Israel ikaona bora uendelee na vita?
dogo mtanganyika ameuliwa kama myama vilee mazee dah
View attachment 2845487
Wewe lazima utakuwa shoga tu.Ni kitu kinanikera sana kuithaminisha haki ya kuishi kwa dini au rangi ya mtu. Kwamba ufe au upone inaamuliwa na dini au rangi yako. Hapo ndio nachukia mno itikadi kali katika dini.
RIP Joshua,,,,wamemuua bila hata kosa inasikitisha sana,,,wabongo waliobaki bora warudishwe tu,,,huko sio salama kabisa sasa,,,na WaAfrika tulivyokua hatujifunzi Kenya na Malawi wametuma watu wao huko tena,,,East Africans tunapenda kushoboka na hawa watu,,,,hizo ngozi nyeupe hazijawahi na hazitawahi kumpenda MuAfrika,,,
Hi ni propaganda who can prove kwamba mauaji yalifanyika na Hamas sio IDF?
Niletee mama yako tuone.Wewe lazima utakuwa shoga tu.