Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Upeo wako mdogo huyu ni kati vijana 260 waliopata udhamini wa kusomea kilimo, uwe na akili hata kidogo hata kama hao Hamas ni ndugu yako kiimani na kitamaduni. Na huyu kijana ni mjukuu wako kutoka Tanzania, inanitia shaka na imani yako.Huo ndiyo ukweli, tusilete unafiki.
Kijana kama kafa tunasema Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun, awekwe popote na muumba wake anapostahiki.
Sasa tujiulize maswali ya msingi, kwanini vijana wanapelekwa nchi ipo vitani kwa miaka 75 sasa?
Chuo alichopelekwa ksusoma kiko wapi mpaka aishie Ghaza?
Tusilete ushabiki wa kijinga.
Inna li Llahi wa Inna ilayhi Rajiun.Upeo wako mdogo huyu ni kati vijana 260 waliopata udhamini wa kusomea kilimo , uwe na akili hata kidogo hata kama hao Hamas ni ndugu yako kiimani na kitamaduni . Na huyu kijana ni mjukuu wako kutoka Tanzania, inanitia shaka na imani yako .
Nawatetea waislam wenzangu
Hapo yametengenezwa mazingira tu watu wapate Per Diem ya Incidental allowances hakuna la zaidi. Tuna matatizo sanaNaona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?
Inaumiza sana.
Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Basi din yemu na mungu wenu ni batili.Nawatetea waislam wenzangu
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)Basi din yemu na mungu wenu ni batili.
Mungu wetu tunayemwamwamini anasema tuqapendw watu wote hata adui..
Wewe hapo na waislam wenzako japo mna maudhi lakini natakiwa kuwapenda
Hv huyu Balozi wa Palestina anasubir nin hapa bongo , waafrija ifike muda tujimbue wao wanatuua sisi tunakenua tuHamas ni Magaidi walaaniwe
Halafu jana Balozi wa Hamas alikuwa anatamba tu pale Clouds TV [emoji209]
Ona wabantu wenzio wanavyo uawaNaam, umeniita? Tatizo nini?
kwan Mollel alikuwa anahusika vip na movement zao ?
Na wale wa msumbiji waliuliwa na mazayuni? Mtaficha ukwel mpaka lin? Hv watu weusi nan kawaloga , mmelewa dini ya kishetan mnasahau hadi uafrika wenu , mnatia aibu sana , ndio maana waarabu huwaita watumwa hamjitambui unajihisi mwarab wkt unajiona sio mwarab kisa ww na wao ni dini moja , mnatia kinyaa kabisaInna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.
, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.
Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?
Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Mmetoka 1948 mmerudi mwaka 1917 nyie watu mnaabudu shetan , maana kudanganya kwenu ni jambo la kawaida sanaNaona hujaupemda ukweli.
Wanaouliwa kuanzia mwaka 1917 ni kina nani?
Mtu akienda vitani ategemee nini? Kuuliwa au kuuwa, au kuna kingine zaidi?Ona wabantu wenzio wanavyo uawa
nje sio kama bongo , gharama za maisha zipo juu ukitegemea wazaz utaishi maisha magumu sana lzm upate kaz ya kujiongezea kipatoNaona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?
Inaumiza sana.
Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Vyovyote vile sababu ni shambulio la hamas , kemea hamasKwamba mateka wamekufa mikononi kwa Hamas wewe umejuaje?
Nilishawaambia huyu alikufa kitambo kama mwenzie kwa mtindo wa mlipuko .
Soma historia kijana. 1917 yalianza, ilikuwa hakuna nchi inaitwa Israel, 1948 ndiyo Muingereza akaianzisha nchi unayoiona leo inaitwa Israel.Mmetoka 1948 mmerudi mwaka 1917 nyie watu mnaabudu shetan , maana kudanganya kwenu ni jambo la kawaida sana
Sasa ndio useme wameteka maiti !? Wa kwanza walimpata wapi kama alitekwa ?Vyovyote vile sababu ni shambulio la hamas , kemea hamas
Kwamba juz hamas waliposema waliwasiliana na Mossad kuwakabidhi miili ya maiti , ulikuwa hujazaliwa ? Sasa unashangaaje taarifa kama hii ? Hamas huwa na mawasiliano na Israel na taarifa muhimi ndo wanaziachia tujueJarida ni la Jerusalem oneni uongo huu ,wameshindwa kujua mateka wapo wapi wakawakomboe ,eti wametrack na kujua kwamba wawili wamekufa [emoji28][emoji28][emoji28].
Huu utoto anakusapot ni mjing wa kiwango cha juu, yaani wamshindwa kuwaokoa na hiyo miili wanayo wao mda sana ,wamekufa kweny ardhi yao .
Unadanganywa kabisa yaani mtu kauliwa oktoba 7 wabaki na mwili miezi 2!?Kwamba juz hamas waliposema waliwasiliana na Mossad kuwakabidhi miili ya maiti , ulikuwa hujazaliwa ? Sasa unashangaaje taarifa kama hii ? Hamas huwa na mawasiliano na Israel na taarifa muhimi ndo wanaziachia tujue