Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Jeshi la Israel limethibitisha kwamba, Joshua Loitu Mollel Mtanzania aliyekuwa ametekwa na magaidi ya Hamas, ambayo ubalozi wao upo hapahapa Tanzania, aliuawa na waliomteka huko Gaza. Inasikitisha sana. Haya, marafiki wa Hamas mnasemaje kwa hilo, Mtanzania mwenzenu kauawa.
 
Huo ndiyo ukweli, tusilete unafiki.

Kijana kama kafa tunasema Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun, awekwe popote na muumba wake anapostahiki.

Sasa tujiulize maswali ya msingi, kwanini vijana wanapelekwa nchi ipo vitani kwa miaka 75 sasa?

Chuo alichopelekwa ksusoma kiko wapi mpaka aishie Ghaza?

Tusilete ushabiki wa kijinga.
Upeo wako mdogo huyu ni kati vijana 260 waliopata udhamini wa kusomea kilimo, uwe na akili hata kidogo hata kama hao Hamas ni ndugu yako kiimani na kitamaduni. Na huyu kijana ni mjukuu wako kutoka Tanzania, inanitia shaka na imani yako.
 
Upeo wako mdogo huyu ni kati vijana 260 waliopata udhamini wa kusomea kilimo , uwe na akili hata kidogo hata kama hao Hamas ni ndugu yako kiimani na kitamaduni . Na huyu kijana ni mjukuu wako kutoka Tanzania, inanitia shaka na imani yako .
Inna li Llahi wa Inna ilayhi Rajiun.

Mjukuu wangu simpeleki kwenye vita halafu akifa nianze kulalamika.

Alazwe popote anapostahiki.
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Hapo yametengenezwa mazingira tu watu wapate Per Diem ya Incidental allowances hakuna la zaidi. Tuna matatizo sana
 
Nawatetea waislam wenzangu
Basi din yemu na mungu wenu ni batili.
Mungu wetu tunayemwamwamini anasema tuqapendw watu wote hata adui..

Wewe hapo na waislam wenzako japo mna maudhi lakini natakiwa kuwapenda
 
Basi din yemu na mungu wenu ni batili.
Mungu wetu tunayemwamwamini anasema tuqapendw watu wote hata adui..

Wewe hapo na waislam wenzako japo mna maudhi lakini natakiwa kuwapenda
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.

, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.

Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?

Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Na wale wa msumbiji waliuliwa na mazayuni? Mtaficha ukwel mpaka lin? Hv watu weusi nan kawaloga , mmelewa dini ya kishetan mnasahau hadi uafrika wenu , mnatia aibu sana , ndio maana waarabu huwaita watumwa hamjitambui unajihisi mwarab wkt unajiona sio mwarab kisa ww na wao ni dini moja , mnatia kinyaa kabisa
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
nje sio kama bongo , gharama za maisha zipo juu ukitegemea wazaz utaishi maisha magumu sana lzm upate kaz ya kujiongezea kipato
 
Mmetoka 1948 mmerudi mwaka 1917 nyie watu mnaabudu shetan , maana kudanganya kwenu ni jambo la kawaida sana
Soma historia kijana. 1917 yalianza, ilikuwa hakuna nchi inaitwa Israel, 1948 ndiyo Muingereza akaianzisha nchi unayoiona leo inaitwa Israel.
 
Jarida ni la Jerusalem oneni uongo huu ,wameshindwa kujua mateka wapo wapi wakawakomboe ,eti wametrack na kujua kwamba wawili wamekufa [emoji28][emoji28][emoji28].

Huu utoto anakusapot ni mjing wa kiwango cha juu, yaani wamshindwa kuwaokoa na hiyo miili wanayo wao mda sana ,wamekufa kweny ardhi yao .
Kwamba juz hamas waliposema waliwasiliana na Mossad kuwakabidhi miili ya maiti , ulikuwa hujazaliwa ? Sasa unashangaaje taarifa kama hii ? Hamas huwa na mawasiliano na Israel na taarifa muhimi ndo wanaziachia tujue
 
Kwamba juz hamas waliposema waliwasiliana na Mossad kuwakabidhi miili ya maiti , ulikuwa hujazaliwa ? Sasa unashangaaje taarifa kama hii ? Hamas huwa na mawasiliano na Israel na taarifa muhimi ndo wanaziachia tujue
Unadanganywa kabisa yaani mtu kauliwa oktoba 7 wabaki na mwili miezi 2!?

Kwamba israel na teknolojia inayosifiwa wafanya mawasiliano washindwe kuwatrack ili kuwakomboa ,mbona nasikia walikomboa watu kwa nusu saa .

Soma nyuzi za huyu chizi mwenzio alisema watu 200 waliokolewa 😅😅😅..

Unaweza kusikilia maiti kama mateka.?

Hata mfungwa alihukumiwa kifungo cha maisha siku akifa basi familia yake itaambiwa na maiti itazikwa ghafla.
 
Back
Top Bottom