Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Jeshi la Israel limethibitisha kwamba, Joshua Loitu Mollel Mtanzania aliyekuwa ametekwa na magaidi ya Hamas, ambayo ubalozi wao upo hapahapa Tanzania, aliuawa na waliomteka huko Gaza. Inasikitisha sana. Haya, marafiki wa Hamas mnasemaje kwa hilo, Mtanzania mwenzenu kauawa.