nashukuru umeandika jambo la ukweli, waisrael wanaingiza maspy kwa kutumia raia wa nchi nyingine halafu baadae wanatumika kwa propaganda.Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?
Inaumiza sana.
Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Ngoja waje wavaa kobazi na misuli uone povu hapaWasalaam.
Habari za kusikitisha ni kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuwawa na kundi la Hamas katika shambulio la Oktoba 7.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba inaeleza kuwa Ndg Joshua, alienda katika mafunzo ya Kilimo nchini Israel. Baada ya kutekwa na kundi hilo aliuwawa kikatili.
Waziri Makamba anaeleza kuwa mwili wa Mtanzania huyo bado unashikiliwa na kundi hilo nchini Palestine. Jitihada zinafanywa na serikali za kumsafirisha Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua pamoja na sehemu ndogo ya familia kwendq nchini Israel kwendq kupata taarifa zaidi za marehemu.
Ikumbukwe kuwa Mtanzania mwingine, Clemence Mtenga pia aliuwawa na baadae mwili wake kusafirishwa nchini kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Hutakiw kuomba samahani mkuu.bibi we ni mpumbavu samahani lakini
RIP, mtanzania mwenzetu.... Ila Isreal ndo imesababisha hao matekwa wasio kua na hatia kufa inarushwa mabomu hovyo na kuua watu wake waliko fichwa, majuzi tu wanajeshi wa Isreal 10 walikufa, isreal imexhanganyikiwa kuhusu hiyo vita.Wasalaam.
Habari za kusikitisha ni kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuwawa na kundi la Hamas katika shambulio la Oktoba 7.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba inaeleza kuwa Ndg Joshua, alienda katika mafunzo ya Kilimo nchini Israel. Baada ya kutekwa na kundi hilo aliuwawa kikatili.
Waziri Makamba anaeleza kuwa mwili wa Mtanzania huyo bado unashikiliwa na kundi hilo nchini Palestine. Jitihada zinafanywa na serikali za kumsafirisha Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua pamoja na sehemu ndogo ya familia kwendq nchini Israel kwendq kupata taarifa zaidi za marehemu.
Ikumbukwe kuwa Mtanzania mwingine, Clemence Mtenga pia aliuwawa na baadae mwili wake kusafirishwa nchini kwa ajili ya maziko.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
IDF ndio magaidi yenyewe.Gaidi ni Gaidi tu
Akina Mahmoud Abbas ndio Wapigania Uhuru wa Palestine
Hasa magaidi wa KizayuniHamas ni Magaidi walaaniwe
Halafu jana Balozi wa Hamas alikuwa anatamba tu pale Clouds TV [emoji209]
Political instability hizo nchi hazifai hata kidogo....Hao jamaa kila siku kumalizana washazoea ona kijana alikuwa na ndoto zake .Mungu wangu, msiba wa nyumbani kabisa huu!
R.I.P
Sasa hao wanaotaka kwenda huko na ingali mapigano yanaendelea ni sawa? Usijezuka msiba mwingine!
Ugaidi ni Imani kama unabisha nenda kashuhudie kule Kitanzini Arusha!IDF ndio magaidi yenyewe.
Comment kama hii inatolewa na mtanzania.. kwenye mauaji ya kinyama ya mtanzania mwenzake..Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.
, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.
Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?
Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Hivi wale vijana wenzao walioenda wote kwenye mafunzo wamerudi?Political instability hizo nchi hazifai hata kidogo....Hao jamaa kila siku kumalizana washazoea ona kijana alikuwa na ndoto zake .
Sasa kama mnaamini israeli ni nchi ya ahadi kati yenu na palestina na magaidi?🤣Ugaidi ni Imani kama unabisha nenda kashuhudie kule Kitanzini Arusha!
Anaeuwa watoto na wanawake wasio na hatia anajulikana dunia nzima.Freedom fighter wanaua wasio na hatia. Hayo ni magaidi kama IS tu.