Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Halafu utamsikia mtanzania wa Ilala, anasema from the sea to the river au free Palestine.
ni aibu kwa serikali ya tanzania...eti Israel wamesema...we ulidhani Israel watasema kuwa wao ndo wamemuuwa? wangeleta ushahidi kama hamas ndo wameuwa.... Israel wameuwa watoto wangapi kule palestina?
 
Kijana alikuwa anajitafutia maisha yake na sasa ni marehemu wewe mtu mzima na wajukuu unamdhihaki kwa kumwita mpumbavu kweli.Kumbe hata na Wapumbavu huzeeka na upumbavu wao.
 
Ifike mahali hizo nchi zenye vita wapelekwe watoto wa viongozi
Hawa wa maskini waachwe walee familia zao.

Inaumiza sana, mzazi umemsomesha kijna wako kwa tabu, unategemea baadae aje kukulea , leo hii unaitiwa maiti
 
Wabongo ni wanafiq wala hakuna kupendana kihivyo tuwalaani tu waisrael bila kuwatesa wapelstina haya yasingetokea!
 
Alafu utakuta balozi wao amekaa hapa nasi tunamchekea tu,idiot!
Hata usipomchekea utam fanya nini labda kwamfano???
Yule wa Russia walipompeleka kijana wenu kule pmc wargner mlifanyaje mlimkimbiza au
Acha kulia lia kijana namachozi yako ya samako kwa bahari
 
Kijana alikuwa anajitafutia maisha yake na sasa ni marehemu wewe mtu mzima na wajukuu unamdhihaki kwa kumwita mpumbavu kweli.Kumbe hata na Wapumbavu huzeeka na upumbavu wao.
Nyie si bado munaendelea kusapoti viongozi wa hovyo kutokea Africa kama kina raila na mfano wake wanaotaka kuwapeleka watu zao huko israhel
Tukiwaambia kama huko sio salama mnapinga
Kuna mataifa hapa duniani sio kabisa yakutembelea hata iweje
South na north korea hawa muda wowote kinanuka
Armenia na Azerbaijan hawa muda wowote kinanuka
Palestine inayokaliwa kwamabavu ilopewa jina la israhell huko napo muda wowote kinaumana
Sisi wapensa haki na amani tunaipa pole familia ilofiwa pia tunasapoti haki ya kujitetea ya hamas
Wakat huo huo tu nawakumbusha watanzania mmekubali kudanganywa na israhell mchana kweupeee
 
Halafu utamsikia mtanzania wa Ilala, anasema from the sea to the river au free Palestine.
Usiwe bwegee wewe hao wate wameuliwa na mabomu ya Israel unamuanin huyo uharo anakushikia akili Hamas wabebe maiti kutoka Israel hadi Gaza😂
 
Ifike mahali hizo nchi zenye vita wapelekwe watoto wa viongozi
Hawa wa maskini waachwe walee familia zao.

Inaumiza sana, mzazi umemsomesha kijna wako kwa tabu, unategemea baadae aje kukulea , leo hii unaitiwa maiti
Naunga mkono hoja
Ifike mahala umaskini wetu usitumiwe na viongozi kututoa kafara
Juzi nilisema hapa ila kuna wafia israhel hapa wakanijia juu kina T14 Armata na dada Nyamizi
Ila dada Nyamizi ahsante kwa msaada wako jana ulinisaidia sana
Ila jf wanatukosea sana namifumo yao yakishamba na kizamani
 
Wabongo ni wanafiq wala hakuna kupendana kihivyo tuwalaani tu waisrael bila kuwatesa wapelstina haya yasingetokea!
Na huu ndio ukweli ambao wengi hawataki kuusema
Paka unapomfungia ndani ukawa unamtesa siku akaja akapata kaupenyo anakua khatari sanaaa
Na ndio kinachoendelea hapo ingawaje hawataki kukisema
 
Wewe kahaba wa enzi za TANU ungekaa tu kimya kuliko kuharisha hapa.
 
Hivi wewe una matatizo gani wewe mtu?????????????????😉
What's the hell about this woman!!???????????????
 
Gaidi namba moja ni Israel akisaidiwa na gaidi wa kiduniani - Marekani!

Waisrael wanashindwa kuokoa mateka wao, hawajui walipo,, eti waweze jua mwili wa Mtanzania ulipo! Ujinga kabisa! Afu mnasahau kuwa Israel imeuawa wapalestina tangu enzi na enzi! Leo hii, eti mnawatetea! Shame! Israel ndo imemuua mtanzania, simple common sense (which is not very common!)
 
We ajuza una roho mbaya sana,Udini umekufanya umekua katili sana,kweli nimeamini "Meno ya Mwenzio utatafunia mchanga"..Nakwambia subiri siku moja yakukute haya uje ushangilie kama hivi.Karma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…