Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Afadhari wewe unawasilisha hoja yako kimantiki na kwa lugha yene staha.Inasikitisha sana kwa mtu mzima tena Mwanamke katika umri utu uzima na yeye kutumia maneno ya hovyo kuwasilisha hoja zake.
Nikirejea kwa point yako, pana Nchi pia za kiarabu ni fragile upande wa political stability lakini sababu ya umaskini wetu bado watu wanarisk na kwenda kufanya kazi .

Nakubaliana na wewe wakati mwingine madhira yanawapata watu sababu ya kukosa mwelekeo wa maisha hapa nyumbani wanaamua kurisk kwa kwenda kujaribu huko.Umaskini wetu ukichagizwa na aina ya viongozi tulionao kwa Nchi nyingi za Ki Africa ndiyo tatizo letu kubwa
Usingalie upande mmoja unakosea sana ....Humu ndani watoto wa paulo wana maneno ya kashfa kama waislamu wakipata maafa ,sitetei ila dawa ya moto ni moto.

Angalia kwanza wanavyomtag hizi ni chuki kabisa kwa nn wamtag walitaka majibu fulani..

Hata mimi ukinitag naleta maneno ya hovyo na hakuna kitu mtu atanifanya.
 
Wameuliwa Tangu oktoba 7 ,eti Hamas wamechukua miili yao na kukaa nayo mpaka leo ...Huu ujinga labda asiyejua kusoma ndio anaweza kuelewa .

Yaani Hamas kukamata mateka waache wazima wachukue miili ya waliokufa tangu oktoba 7 😅😅😅..

Dead bodies are everywhere na zinaachwa kusambaa watu waje kuokota maiti .

Simple ni kwamba israel wameua watanzania wote wawili....walichoandika labda uwe mjinga ndio utakubali .

Yaani mtu kauliwa oktoba 7 wao Hamas washikilie miili ya hao maiti kwa miezi 2 ,ili wapate nn tena?😅😅
Binafsi tangu walivyotoa taarifa ya watoto kukatwa vichwa halafu baadae wakaja kukanusha na sikuhzi huwa wakibanwa sana kwa maswali wanarudia kauli ile ile ya watoto kukatwa vichwa mara tena Kila siku wanabadilisha idadi ya watu walokufa upande wao na idadi inazidi kupungua....hapa nikaona Hawa ni waongo wakubwa....hata hii taarifa ya huyu ndugu yetu bado itakuwa na walakini...wanaweza kusingiziwa hao wanaoitwa magaidi lakini kumbe infact Hawa wazee wa kusema uongo labda wao wenyewe ndo wamewafyeka Hawa watu.....waongowaongo sana hawa
 
Israel kuna kilimo na ufugaji wa kisasa wa teknolojia ya hali ya juu.
Wengi tu wanaenda kujifunza hayo mambo hakuna Jambo la Siri nyuma ya pazia.
Hahahaha! Kilimo na ufugaji wa kisasa wa teknolojia ya hali juu? Yaani unatoka Tanzania unachoma pesa na nauli ili kwenda Israel kusomea ufugaji na kilimo?

What a shitty way to die.
 
Wanapigania UHURU wa nani? Freedom fighters wanajua wanachotaka embu niambie HAMAS wanataka nini?
Safi sana kwakutaka kujua
Hamas wanapigania uhuru wataifa lao la Palestine
Hamas ni freedom fighter
 
Alitekwa halafu akauliwa tangu oktoba 7
Mazayuni wanasema waliuwa wao wenyewe tarehe 7/10.

Huyo achukuliwe mateka na Qapalestina ana thamani gani?

Tuwe tunaficha ujinga, mateka wa kigeni wote waliachiwa na wapalestina na hakuwepo Mytanzania.

Hata yule wa kwanza alipatikana wapi? Ghaza?
 
Mazayuni wanasema waliuwa wao wenyewe tarehe 7/10.

Huyo achukuliwe mateka na Qapalestina ana thamani gani?

Tuwe tunaficha ujinga, mateka wa kigeni wote waliachiwa na wapalestina na hakuwepo Mytanzania.

Hata ytule wa kwanza alipatikana wapi? Ghaza?
😅😅😅Yaani habari ipo wazi kwamba no uongo yaani wakae na maiti miezi 2 😅
 
We ajuza una roho mbaya sana,Udini umekufanya umekua katili sana,kweli nimeamini "Meno ya Mwenzio utatafunia mchanga"..Nakwambia subiri siku moja yakukute haya uje ushangilie kama hivi.Karma
We ajuza una roho mbaya sana,Udini umekufanya umekua katili sana,kweli nimeamini "Meno ya Mwenzio utatafunia mchanga"..Nakwambia subiri siku moja yakukute haya uje ushangilie kama hivi.Karma
Ulitaka niseme nini ndiyo uuelewe kuwa ni ukweli?

Hivi wewe una akili haswa kumpeleka kijana wako nchi inapigana vita halafu akifa uje kulalamika?

Huo ni wehu.
 
Binafsi tangu walivyotoa taarifa ya watoto kukatwa vichwa halafu baadae wakaja kukanusha na sikuhzi huwa wakibanwa sana kwa maswali wanarudia kauli ile ile ya watoto kukatwa vichwa mara tena Kila siku wanabadilisha idadi ya watu walokufa upande wao na idadi inazidi kupungua....hapa nikaona Hawa ni waongo wakubwa....hata hii taarifa ya huyu ndugu yetu bado itakuwa na walakini...wanaweza kusingiziwa hao wanaoitwa magaidi lakini kumbe infact Hawa wazee wa kusema uongo labda wao wenyewe ndo wamewafyeka Hawa watu.....waongowaongo sana hawa
Na huu ndio ukweli huyo bwana kauliwa na mayahudi
Mayahudi ni maji tu ya hovyo na maonho sanaaa hapa duniani
 
Gaidi namba moja ni Israel akisaidiwa na gaidi wa kiduniani - Marekani!

Waisrael wanashindwa kuokoa mateka wao, hawajui walipo,, eti waweze jua mwili wa Mtanzania ulipo! Ujinga kabisa! Afu mnasahau kuwa Israel imeuawa wapalestina tangu enzi na enzi! Leo hii, eti mnawatetea! Shame! Israel ndo imemuua mtanzania, simple common sense (which is not very common!)
Watanzania wewngi ni wajinga sana, wajiulize yule wa kwanza alipatikana wapi?
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.

, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.

Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?

Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
Kijana akiwa mpumbavu tunajifariji kwamba akifika uzeeni atapata hekima na busara,lakini Mzee kama wewe akiwa mpumbavu hakika hakuna tumaini tena.
 
Usingalie upande mmoja unakosea sana ....Humu ndani watoto wa paulo wana maneno ya kashfa kama waislamu wakipata maafa ,sitetei ila dawa ya moto ni moto.

Angalia kwanza wanavyomtag hizi ni chuki kabisa kwa nn wamtag walitaka majibu fulani..

Hata mimi ukinitag naleta maneno ya hovyo na hakuna kitu mtu atanifanya.
Hizo comments za kumtag zimekuja baadae sana wakati yeye kesharopoka maneno ya hovyo tayari.Sina uhakika na umri wako Mkuu na hata ukijibazana kwa lugha isiyo na staha kutokana na flow ya comments at least naweza assume upo in ur mid 30's inaeleweka lakini kwa mama tena mtu mzima mwenye ndoa ya zaidi ya miaka 40 kwa mujibu wa comments zake huko nyuma kwa mjadala tofauti, kushikwa na mhemko na kuanza kurusha maneno ya hovyo tena kwa Marehemu wa umri sawa na wajukuu zake inatia shaka sana utimamu wa akili yake.
 
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.

Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7 na mwili wake ulichukuliwa na Hamas hadi Gaza.

Chaimi alikuwa sehemu ya kikosi cha dharura ambacho kilitumwa kusimamisha shambulio la Hamas hadi waweze kuongezewa nguvu.

Chaimi aliondoka asubuhi hiyo baada ya kubainika kuwa Hamas wamejipenyeza Israel na kuwaacha mkewe na watoto nyumbani.

Waliporejea kikosini, Chaimi hakuwa miongoni mwao. Kikosi hakikuweza kumwambia mkewe mahali alipokuwa.

Chaimi alikuwa mkazi wa kizazi cha tatu wa Nir Yitzhak na mzao wa waanzilishi wake. Ameacha mke na watoto watatu.

Kumbukumbu yao iwe baraka
Mollel mwanafunzi wa Kitanzania wa kilimo alikuwa amewasili Israel wiki mbili tu kabla ya Mauaji ya Oktoba 7.

Mollel alikuwa akifanya kazi huko Nahal Oz kama mfugaji wa ng'ombe wa maziwa na alikuwa kazini siku ya mauaji hayo.

Baba yake alijulishwa usiku wa kuamkia leo juu ya hatma ya mtoto wake, inasemekana haamini na ameuliza chanzo cha habari hiyo.

Babake Mollel anawasili Israel usiku huu akiandamana na wawakilishi wa wizara ya mambo ya nje, kwa mujibu wa Kituo cha Wahamiaji na Wakimbizi.

UPDATE:
Kupitia Mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amethibitisha taarifa hii.

Makamba ameandika “Tumejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma chini Israel, na ambaye tulipoteza naye mawasiliano tangu tarehe 7 Oktoba 2023, na ambaye Serikali imekuwa inafanya jitihada kubwa kupata taarifa zake tangu wakati huo, aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas mnamo tarehe 7 Oktoba 2023. Nimeongea na Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua, kuhusu ujumbe huo wa Serikali ya Israel.

Tunaendelea na mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na manafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali nchini Israel, kuungana na Balozi wetu na maafisa waliopo huko, kukutana na kuzungumza na mamlaka za nchi hiyo ili kupata taarifa za ziada. Kwa ridhaa ya familia, na itakapobidi, tutatoa taarifa za ziada katika siku zijazo.”
magaidi ya kislam sio ya kuyaonea huruma kabisa,wapigwe hapo Gaza mpaka wachakae.
 
Back
Top Bottom