Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Mazayuni wameuwa mpaka raia wao wenyewe ili wasitekwe, itakuwa hao njaa kali?

Wapalestina jana wamewatupia maiti mbili, hawana haja ya kukaa nazo, alikuwepo Mtanzania pale?

Wapalestina walishatangaza zamani, wana maiti tatu za Kiyahudi, ba kila wakiendelea kuwashika mateka wanaweza kuuliwa.

Hakuna Mtanzania, wawawachie, Wathailand wote, wawawachie na wa nchi zingine za kizungu wenye thamani, waibakishe maiti ya Mtanzania?

Tumieni akili kidogo mapoyoyo nyinyi.

Yaani waizuwie maiti ya Mtanzania ili iweje> Ina thamani gani hiyo?
 
Wewe kahaba wa enzi za TANU ungekaa tu kimya kuliko kuharisha hapa.
Hakuna Mtanzania mwenye thamani ya kushikwa na Mpalestina. Tena basi maiti ya Mtanzania?

Tumieni akili nyinyi.

Mpalestina anazuwia mayahudi anajuwa mmoja kwa kwa Wapalestina kibao, Mtanzania ana thamani ipi huko kwa mazayuni?
 
Wanapigania UHURU wa nani? Freedom fighters wanajua wanachotaka embu niambie HAMAS wanataka nini?
Duuuh! mkuu,ingia hata Google,ujue hao Hamas kwanini wanapigana na Waisrael,sikujua kama kuna baadhi ya watu,hamjui kwanini kuna vita ukanda wa Gaza.Duuuh! aisee.
 
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.

Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7 na mwili wake ulichukuliwa na Hamas hadi Gaza.

Chaimi alikuwa sehemu ya kikosi cha dharura ambacho kilitumwa kusimamisha shambulio la Hamas hadi waweze kuongezewa nguvu.

Chaimi aliondoka asubuhi hiyo baada ya kubainika kuwa Hamas wamejipenyeza Israel na kuwaacha mkewe na watoto nyumbani.

Waliporejea kikosini, Chaimi hakuwa miongoni mwao. Kikosi hakikuweza kumwambia mkewe mahali alipokuwa.

Chaimi alikuwa mkazi wa kizazi cha tatu wa Nir Yitzhak na mzao wa waanzilishi wake. Ameacha mke na watoto watatu.

Kumbukumbu yao iwe baraka
Mollel mwanafunzi wa Kitanzania wa kilimo alikuwa amewasili Israel wiki mbili tu kabla ya Mauaji ya Oktoba 7.

Mollel alikuwa akifanya kazi huko Nahal Oz kama mfugaji wa ng'ombe wa maziwa na alikuwa kazini siku ya mauaji hayo.

Baba yake alijulishwa usiku wa kuamkia leo juu ya hatma ya mtoto wake, inasemekana haamini na ameuliza chanzo cha habari hiyo.

Babake Mollel anawasili Israel usiku huu akiandamana na wawakilishi wa wizara ya mambo ya nje, kwa mujibu wa Kituo cha Wahamiaji na Wakimbizi.

UPDATE:
Kupitia Mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amethibitisha taarifa hii.

Makamba ameandika “Tumejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma chini Israel, na ambaye tulipoteza naye mawasiliano tangu tarehe 7 Oktoba 2023, na ambaye Serikali imekuwa inafanya jitihada kubwa kupata taarifa zake tangu wakati huo, aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas mnamo tarehe 7 Oktoba 2023. Nimeongea na Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua, kuhusu ujumbe huo wa Serikali ya Israel.

Tunaendelea na mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na manafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali nchini Israel, kuungana na Balozi wetu na maafisa waliopo huko, kukutana na kuzungumza na mamlaka za nchi hiyo ili kupata taarifa za ziada. Kwa ridhaa ya familia, na itakapobidi, tutatoa taarifa za ziada katika siku zijazo.”

Sielewi hii serikali ipo kimaslahi na taifa la kigaidi! Why mnalazimisha Jeshi la Hamas ndio limehusika! Na sio magaidi ya kizayuni!
 
kuna majinga humu bado yana support hamas
 
Mna mito 19 Tz na hamjui ina msaada gani kwa binadamu
Bora Kiboko na mamba kuliko nyie mnaoenda kujifunza kilimo nje tena kwenye nchi ambayo 60% jangwa
 
Duuuh! mkuu,ingia hata Google,ujue hao Hamas kwanini wanapigana na Waisrael,sikujua kama kuna baadhi ya watu,hamjui kwanini kuna vita ukanda wa Gaza.Duuuh! aisee.
Kuna watu bado hawajaelimika ila acha tuendelee kuwapiga msasa nakuwapa elimu mdogo mdogo kila tukipata nafasi tutawapa elimu
Mpaka watakapo elimika
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi Rajiun, wawekwe popote wanapostahili.

, wapo wengi sana hao kutoka nchi mbali mbali duniani waliouliwa na mazayuni wenyewe na mazayuni wamekiri kuuwa.

Ni mpumbavu tu ambae atapeleka mwanawe akasome israel, hivi huwa hamuelewi kuwa hiyo nchi ipo vitani kuanzia mwaka 1948?

Halafu cha kujiuliza, huyo mpumbavu alienda kusoma au kucheza disco?
we bibi MWANGA unakatwa na wachawi wenzio
 
Naam, jibu swali langu hapo?

Unampeleka mwanqo kwenye vita unategemea nini? Au afe au atoboe. Siioni ajabu hapo. Tusilete unafik.

Au alikuwa askari wa kukodiwa huyo?
Wanasema alienda kufanya kazi ya kufuga Ng"ombe wa maziwa.
 
Tena nchi ya kigaidi na tena ambayo ipo vitani tokea mwaka 1948
Inasikitisha kwakweli
Majitu hayajitambui haya
Nyerere alikuwa na dini yqke ila hakuwathamini kwa ushenzi wao na hakuwataka kabisa
Leo yamejazana mashogo eti ndio yanajitokeza majitu ooh taifa teule
Teule la kuoana wanaume
Bunge linapititsha akifiwa shoga anakuwa widower na analipwa shoga kawa mjane
Huu upumbavu wanaukubali na wanaona sifa kuwashabikia

Una mito yote hiyo unashindwa kuitumia ni akili au matope
Umasikini wa akili ni mbaya sana asikuambie mtu
 
Ulitaka niseme nini ndiyo uuelewe kuwa ni ukweli?

Hivi wewe una akili haswa kumpeleka kijana wako nchi inapigana vita halafu akifa uje kulalamika?

Huo ni wehu.
Ukweli ulikuepo eneo la tukio mauaji yakitokea au unashabikia kwa vile unaongozwa na udini? Cha ajabu huyu ni mtanzania mwenzio.Unajisikiaje ndugu zake wakipita humu na kusoma kejeli zako? Unakera sana Bibi ila nakwambia uzuri umezaa na wajukuu unao ipo siku yatakukuta makubwa kuliko haya.Usijione umekamilika kila idara.Nakuombea usife ili ujionee yakitokea kwenye familia yako.
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Unashangaa kufuga ng'ombe. Kuna classmate wangu ila yeye kapiga SUA yuko Marekani anafuga nguruwe. Akiba yake kwa mwaka si chini ya 20M, na wapo watu wengi tu waliokuwa na performance nzuri na vigezo wakatimiza wamekula contract kwenye ufugaji uko kurudi na 30M kawaida.

Pia wapo wanafunzi wa LITA kama Tengeru na Morogoro wanaenda uko Israel. Waliorudi mwaka huu walikaa mwaka kule, kuja na almost 20M kawaida sana. Sasa nitafutie kibarua wa kufuga ng'ombe bongo mwenye savings ya 20M. Graduate engineer, MD, accountant au nani hapa bongo hawezi save 20M tena hata kuipata kwenye gross hapati.

Last week kuna mcheza vinyago nilimtafuta kwa Whatsapp kwenye confirmation ya madogo wa mamdogo akanijulisha yuko China kwa kazi hizo za kucheza vinyago. Aya basi mtafute engineer wa bongo aende China kujenga uone😂.

Bongo tunapenda tittle ila mifuko imesinyaa.
 
Ukweli ulikuepo eneo la tukio mauaji yakitokea au unashabikia kwa vile unaongozwa na udini? Cha ajabu huyu ni mtanzania mwenzio.Unajisikiaje ndugu zake wakipita humu na kusoma kejeli zako? Unakera sana Bibi ila nakwambia uzuri umezaa na wajukuu unao ipo siku yatakukuta makubwa kuliko haya.Usijione umekamilika kila idara.Nakuombea usife ili ujionee yakitokea kwenye familia yako.
Wewe una ushahidi gani kwamba huyo mwanamke amezaa wakati hata humjui.
 
Back
Top Bottom