Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Nguvu yote tumeelekeza kwa misomisondo na mambo haya

Ova
 
kabisa yaani !

haiwezekani Makafir kote duniani aaungane kuwapoga Hamas kisa watoke kwenye ardhi yao.

ueni makafir wote ikibidi
Anza basi wewe hapo kuonyesha mfano kwa kuuwa makafir waliokuzunguka ambao ni jirani zako ili tujue kweli upo serious ewe key board warrior
 
Anaeuwa watoto na wanawake wasio na hatia anajulikana dunia nzima.
Bro always natumia 6 senses ku acquire information. Hao ni magaidi kulingana na metendo yao haijalishi nani anawaunga mkono na nani hawaungi mkono. Ila sijasema wewe hauko sawa kila mmoja yuko sawa kulingana na mtazamo wake.
 
Joshua Mollel: Mtanzania wa pili kuuawa aliyetekwa na Hamas​

BBC Swahili, Nairobi
TH

CHANZO CHA PICHA,JOSHUA MOLLEL
Maelezo ya picha,
Joshua Mollel aliwasili Israel mwezi mmoja tu kabla ya shambulio la Hamas

Serikali ya Tanzania imethibitisha kupokea taarifa kutoka serikali ya Israel kuhusu kifo cha mwanafunzi Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel na aliyetekwa nyara tarehe 7 Oktoba 2023 wakati kundi la Hamas liliposhambulia Israel.
Kupitia ujumbe wa X iliyojulikana kama Twitter hapo awali,Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba amesema ameongea na baba ya marehemu Joshua, Mzee Mollel kuhusu ujumbe huo
Serikali ivunje uhusiano na Palestina.

Lakini kama hawaguswi na mauaji haya waendelee na ishu zao
 
Halafu Kuna mambuzi walikuwa wanaandamana kuwaunga mkono hao wauaji
 
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana

Halafu kuna watu bado utasikia yanayapongeza haya magaidi ya Hamas!!

Yalaaniwe magaidi ya Hamas na washirika wao. Moto wenye nguvu ushuke uyaangamize mashetani haya huko mashimoni yalikojificha, maana haya yamezifanya damu za watu kuwa kinywaji chao. Hayasikii faraja mioyoni mwao bila kuua.

Kuna haja gani ya kuwa na ubalozi wa Palestina nchini kama unashindwa hata kusaidia kuokolewa Watanzania wasio na hatia?

Haya magaidi huwezi hata kusema yaliwateka vijana wetu kama kisasi kwa Wayahudi, maana hawa vijana hata ngozi zao ziliwatofautisha kwa uwazi.

Sijui mwarabu ni kiumbe wa namna gani. Maana kwa sasa ndiye kiumbe anayeongoza kwa mauaji Duniani. Yemen wanauana, Syria wanauana, Iraq wanauana, Libya, Misri, Lebanon, kote huko unakuta wanauana wenyewe kwa wenyewe. Wakikimbia vita, wanaenda Ulaya, hutasikia wanakimbilia nchi za waarabu wenzao. Ni heri hata Waafrika. Waafrika wakikimbia ukatili wa watawala wao dhalimu, wanakimbilia kwa Waafrika wenzao.
 
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Unafiki ndo shida yetu.

Tunapenda sana kujipendekeza hata kama majirani wana tushika matraaaaaco.

Sijawai ona kiongozi wa Tz akitoa msimamo dhabiti kuhusu jambo lolote linalo hisu Tanzania na Jumuiya ya kimataifa.

Ni kama tupo tu. Hatuna values wala principles.
 
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Yaani walaani kutekwa Kwa Joshua?
 
Back
Top Bottom