ni aibu kwa serikali ya tanzania...eti Israel wamesema...we ulidhani Israel watasema kuwa wao ndo wamemuuwa? wangeleta ushahidi kama hamas ndo wameuwa.... Israel wameuwa watoto wangapi kule palestina?Halafu utamsikia mtanzania wa Ilala, anasema from the sea to the river au free Palestine.