Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Na huu ndio ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuusema
Hili suala sirikali ya Tanzania imedanganywa na mazayuni nayo imekubaliana nalo
Tanzania [emoji1241] munatakiwa mukate mahusiano yote na mazayuni kwahuu unyama waloufanya kwa mtanzania mwenzetu
 
Mama Faiza this is too much…
 
Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa anasoma nchini humo aliuawa mara tu baada ya kutekwa na kundi la Hamas mnamo Oktoba 7, 2023.
.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe.January Makamba, amebainisha kuwa ameongea na Mzee Mollel, baba mzazi wa Joshua, kuhusu ujumbe huo, na kwamba wanafanya mpango wa awali wa kuwapeleka Mzee Mollel na mwanafamilia mwingine pamoja na Afisa wa Serikali, nchini Israel, kuungana na Balozi wa Tanzania nchini humo na maafisa waliopo huko, ili wakutane na kuzungumza na mamlaka za nchi hiyo ili kupata taarifa za ziada.
 
Afadhari wewe unawasilisha hoja yako kimantiki na kwa lugha yene staha.Inasikitisha sana kwa mtu mzima tena Mwanamke katika umri utu uzima na yeye kutumia maneno ya hovyo kuwasilisha hoja zake.
Nikirejea kwa point yako, pana Nchi pia za kiarabu ni fragile upande wa political stability lakini sababu ya umaskini wetu bado watu wanarisk na kwenda kufanya kazi .

Nakubaliana na wewe wakati mwingine madhira yanawapata watu sababu ya kukosa mwelekeo wa maisha hapa nyumbani wanaamua kurisk kwa kwenda kujaribu huko.Umaskini wetu ukichagizwa na aina ya viongozi tulionao kwa Nchi nyingi za Ki Africa ndiyo tatizo letu kubwa
 
Hamas ni magaidi wanatakiwa kufutwa kabisa ktk uso wa dunia asa mtz mwezentu kosa lake nn mpk hao wagaidi wanamuua inauma sanaa
 
So sorry
 
Hamas ni zaid ya Msiba. Poleni sana kina Mollel, Waarusha na WTz sote
 
Vita ni vita na haina macho. Huo ni msemo maarufu ambao ni fact vilevile.

Seriously though. Yaani sehemu zote za kwenda why the fuk uende Israel? Kuna USA, Canada, Uk nk. Why Israel? What so special about it? Unafuu wa maisha au amani? Besides kuwa kimada wa USA?

Mambo mengine ni ya kujitakia tu. It's not sad but pathetic.
 
Heheeee dada FaizaFoxy kateleza inabidi tumuelewe tu
Kuna hoja alikua anataka kuiwasilisha ila naona kakosa namna nzuri tu yakuiwasilisha unatakiwa utulie sana ndio umuelewe
Hapo sasa nimekuelewa pakubwa dada ake ila viongozi wetu wanatukosea pakunwa sana kwahakika
Raia wa kiafrika wengi au wote hatuna sababu yakuishi ama kuhangaika hv tu hangaikavyo ila tu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…