Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

Mtu akiwa na jeraha ndio inathibitisha kuwa ameuwawa?
Elewa wana majeraha miguuni na usoni, haijasemwa ni majeraha makubwa kiasi gani lakini hayo majeraha ndio yamepelekea umauti hivyo ni majeraha makubwa.

Inakuwaje wote wanne wawe na majeraha vichwani na miguuni? kama ni ajali wangesema.
 
Pole Kwa familia na jamaa zao

Umri wa miaka 19 hadi 22, ni Vijana wadogo mno

Ingekuwa wameendelea na Shule, wangekuwa wanakaribia kuhitimu shahada zao za kwanza 🙌

Hii Nchi kwasasa suala la kupotezwa ni la dakika 5 tu

Mbaya zaidi haijulikani ni Siasa ama mambo ya biashara
 
Ila vijana waache kuisema vibaya hii serikali, ukisema tu unapotezwa, watu wajifunze wakae kimya tu itawasaidia
 
wanne? hapana majambaz hawawez teka watu wanne kirahisi hivo, ogopa watu hawa, mwanasiasa, mfanyabiashara mwenye ndoto kubwa, masikini sana alietopea, utakiuwa salama walau

fullstop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom