Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

Ila vijana waache kuisema vibaya hii serikali, ukisema tu unapotezwa, watu wajifunze wakae kimya tu itawasaidia
Siku hao vijana wanne wakiwa wanao utaelewa ni ngumu kiasi gani kukaa kimya. Kwa sasa unaogelea kwenye dimbwi la UBINAFSI huwezi kuelewa.

Tutakuwa na Taifa la namna gani kama wakiiba tukae kimya, wakidhulumu tukae kimya, wakiteka wapendwa wetu tukae kimya, wakiuwawa tukae kimya.

Kuna siku litakukuta jambo utalia peke yako huku jirani zako wanaendelea kupiga kimya kwa kuwa ni lako haliwahusu.

Kwa sasa endelea kuogelea kwenye dimbwi la UBINAFSI. Shetani hajawahi kulipa fadhila.
 
Kwani nimeongea vibaya? Hapana, nimesema hivyo kwa sababu unaona hali ilivyo nchini kwa sasa — watu wanatekewa na kuuawa, lakini nani amewahi kwenda front kuwatetea zaidi ya kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii?

Sasa badala ya kujihatarisha maisha yao, si bora wakae kimya tu? Maana watawala wa sasa hawataki kusemwa kwa chochote, ukiongea chochote watakusumbua lazima na ukizingatia wao ndio wameshika mpini, umekumbatia makali unadhani utakuwa salama hapo?

Nimesema tu ni heri vijana wasirisk maisha yao bure. Siku hizi watu wanaua raia kama wanakunywa maji tu.
 
Elewa wana majeraha miguuni na usoni, haijasemwa ni majeraha makubwa kiasi gani lakini hayo majeraha ndio yamepelekea umauti hivyo ni majeraha makubwa.

Inakuwaje wote wanne wawe na majeraha vichwani na miguuni? kama ni ajali wangesema.
Bado haujajibu swali lakini, kuwa na majeraha ndio kigezo cha mtu kuuwawa?
Na iwapo kuna mauaji, mhusika lazima awe nje ya hao waliokufa?
 
Ulitaka niandike nini? Usinipangie cha kuandika taka taka mkubwa wewe!

Naona unaniandama kimya kimya tangu tukinzane kwenye mada ya mambo ya pole pole
Dude, the fault is not yours. You were nurtured in a land where learning is shallow, and the world has yet to open itself fully to you.
 
Nahisi sasa hivi watu wanapitiamo humu🥺 yani kama mtu ana adui anatamani kumtoa uhai hiki ndio kipindi aisee! Yani ni mchangamano wa wauaji huu mwaka😰
 
Nafsi inaniambia ni hawa watoto wa mitandaoni wanaohamasisha maandamano mitandaoni.

Kuna uwezekano mkubwa mission maalumu ya kutishia vijana kuelekea 29 Oct.
Yaani umeandika mawazo yangu kabisa mkuu, there is no way mauaji ya hawa vijana ukayatengenisha na hili vugu vugu la kisiasa linaloendelea hapa nchini.

Ni dhairi wameuliwa na wale watu wanaoitwa kikosi kazi au wazee wa doria mtandaoni almaarufu kama "drones".

Samia na mwanae ni watu makatili sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili, wanatumia kodi na rasilimali za watanzania kumiliki genge la waharifu ambalo kazi yake ni kupora uhai wa mtu yeyote ambaye anaonekana kuuchukia utawala huu.

Mbaya zaidi wanaua mpaka vijana wadogo ambao hawana athari yoyote ile zaidi tu ya kupiga kelele mitandaoni.

Hawa vijana ni dhairi ni wale ambao wanaongozwa na mihemko tu pamoja na mikumbo tu ya shinikizo rika, ila watu wa doria wakaona kuwa ni threat kwa utawala wa malkia kutoka kizimkaz.

Mbaya zaidi watu wanaendesha operation hii ya kishetani ni vilaza hatari, hawajui hata mtu sahihi wa kumteka ni yupi, na moja ya watu ambao wanaendesha operation hii ni yule Insepector kilaza somebody Nakaya yule ambaye alikuwa shaidi kwenye kesi ya Lisu juzi akaishia kutia aibu tu kwa kusema kila kitu hajui.

Sasa mtu wa namna ile eti ndio wa kutoa taarifa kwa genge la samia ni nani ambaye ni threat mitandaoni wa kumshughulikia, si ndio maana wanateka wanateka watu ovyo mpaka watoto wadogo wasiokuwa na impacts.
 
Nahisi sasa hivi watu wanapitiamo humu🥺 yani kama mtu ana adui anatamani kumtoa uhai hiki ndio kipindi aisee! Yani ni mchangamano wa wauaji huu mwaka😰
Na ndio maana serikali makini duniani huwa inajitahidi kuepusha kutumia vyombo vya dola kisiasa, maana mauaji yoyote ya kisiasa lazima yatahusishwa na vyombo vya dola.

Na vyombo vya dola vikishaingiliwa hilo doa tu kiasi kwamba wanainchi wakakosa imani navyo, wahalifu watakuwa wanatake advantage ya hali hiyo kufanya matukio yao, maana wanajua raia wala hawatajisumbua kushitaki wala kuchukua hatua yoyote ile sababu tayari akilini mwao wanaamini vyombo vya dola ndio wanaofanya hayo mauaji.
 
Yaani umeandika mawazo yangu kabisa mkuu, there is no way mauaji ya hawa vijana ukayatengenisha na hili vugu vugu la kisiasa linaloendelea hapa nchini.

Ni dhairi wameuliwa na wale watu wanaoitwa kikosi kazi au wazee wa doria mtandaoni almaarufu kama "drones".

Samia na mwanae ni watu makatili sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili, wanatumia kodi na rasilimali za watanzania kumiliki genge la waharifu ambalo kazi yake ni kupora uhai wa mtu yeyote ambaye anaonekana kuuchukia utawala huu.

Mbaya zaidi wanaua mpaka vijana wadogo ambao hawana athari yoyote ile zaidi tu ya kupiga kelele mitandaoni.

Hawa vijana ni dhairi ni wale ambao wanaongozwa na mihemko tu pamoja na mikumbo tu ya shinikizo rika, ila watu wa doria wakaona kuwa ni threat kwa utawala wa malkia kutoka kizimkaz.

Mbaya zaidi watu wanaendesha operation hii ya kishetani ni vilaza hatari, hawajui hata mtu sahihi wa kumteka ni yupi, na moja ya watu ambao wanaendesha operation hii ni yule Insepector kilaza somebody Nakaya yule ambaye alikuwa shaidi kwenye kesi ya Lisu juzi akaishia kutia aibu tu kwa kusema kila kitu hajui.

Sasa mtu wa namna ile eti ndio wa kutoa taarifa kwa genge la samia ni nani ambaye ni threat mitandaoni wa kumshughulikia, si ndio maana wanateka wanateka watu ovyo mpaka watoto wadogo wasiokuwa na impacts.
Inasikitisha sana sana.
Hao ni watoto kabisa.

Kuelekea kipindi hiki tutegemee matukio zaidi ya watu kupotea, na miili kuokotwa ikiwa ina majeraha.

Lakini alichopanga Mungu lazima kitimie.
 
Na ndio maana serikali makini duniani huwa inajitahidi kuepusha kutumia vyombo vya dola kisiasa, maana mauaji yoyote ya kisiasa lazima yatahusishwa na vyombo vya dola.

Na vyombo vya dola vikishaingiliwa hilo doa tu kiasi kwamba wanainchi wakakosa imani navyo, wahalifu watakuwa wanatake advantage ya hali hiyo kufanya matukio yao, maana wanajua raia wala hawatajisumbua kushitaki wala kuchukua hatua yoyote ile sababu tayari akilini mwao wanaamini vyombo vya dola ndio wanaofanya hayo mauaji.
Aisee! Tuko kwenye kipindi cha hatari sana! Unaweza laumu serikali sana kumbe watu wameuana kisa mapenzi au wivu wa kijinga tu! Watu watatoana kafara sana, watatekwa mno! kwa sababu watatumia code zilezile kuteka na kuua maadui zao na kuwatupa popote... hii ni balaa!
 
Kwani nimeongea vibaya? Hapana, nimesema hivyo kwa sababu unaona hali ilivyo nchini kwa sasa — watu wanatekewa na kuuawa, lakini nani amewahi kwenda front kuwatetea zaidi ya kupiga kelele kwenye mitandao ya kijamii?

Sasa badala ya kujihatarisha maisha yao, si bora wakae kimya tu? Maana watawala wa sasa hawataki kusemwa kwa chochote, ukiongea chochote watakusumbua lazima na ukizingatia wao ndio wameshika mpini, umekumbatia makali unadhani utakuwa salama hapo?

Nimesema tu ni heri vijana wasirisk maisha yao bure. Siku hizi watu wanaua raia kama wanakunywa maji tu.
Hakuna mtu wa kukaa kimya, wasisemwe wao wamekuwa akina nani, Watanzania wameshasema 29 Oct wanatoka, usifikiri ni masuala ya mitandaoni pekee, viongozi hivi sasa wanahaha.

Jana wameachia ajira karibu 17 elfu, juzi wametoa posho JWTZ, wanahaha kila kona kwa sababu wanaiona nguvu inayokuja kuwasamabaratisha mbele yao n kubwa na ngumu sana kuzuilika.

Hakuna kukaa kimya, ni mapambano mpaka tuheshimiane, haiwezekani kikundi cha watu wasiozidi 100 wachague hatima ya Watanzania karibu milioni 70.
 
Ila vijana waache kuisema vibaya hii serikali, ukisema tu unapotezwa, watu wajifunze wakae kimya tu itawasaidia
Aisee comment yako inaumiza sana, ila kaa ukifahamu hii serikali yako hata ikikuhisi kuwa wewe ni threat itakufikia tu na hawana sululisho lingine zaidi ya kuua..

Huwa inatoka kauli moja tu basi "mshughulikie" .. kesho kutwa tunakuokota maiti huko bahari beach.

Mtu akishanza kunuka damu za watu anakuwa kila muda anajiskia kumwaga damu, yaan linakuwa ni hitaji lisiloisha, hivyo kunyamaza kwako haikupi usalama 100%
 
Back
Top Bottom