Miili ya vijana wanne waliouawa yaokotwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha

Inasikitisha sana sana.
Hao ni watoto kabisa.

Kuelekea kipindi hiki tutegemee matukio zaidi ya watu kupotea, na miili kuokotwa ikiwa ina majeraha.

Lakini alichopanga Mungu lazima kitimie.
Watanzania tuliopo na watakakuja baada ya sisi, inapaswa huu utawala utupe somo kubwa sana...

Kuna level fulani ya madaraka haitakiwi kabisa kushikwa na kilaza maana ataumiza sana watu na hasa kama ana back up ya katiba mbovu.

Samia na genge lake wote ni vilaza, hawajui hata watu sahihi wa kuwanyamazisha, wanateka na kuua watu ambao hata hawana significant impact kwenye hili vugu vugu, ndio maana licha kuua watu kiholela lakin kila uchwao dissenters wanazidi kuongezeka tu.

Vijana kma hao wala hapakuwepo na haja ya kuwaua, hao wangeweza kuwafungia sehemu yenye giza kwa siku mbili bila chakula wala maji, kisha wakawatoa siku ya tatu wakawapo onyo kali sana...

Mbona wangekuwa watiifu huku mitaani na october hii wangeenda kutick....

Kama kuna kiongozi ambaye hajui kabisa kufanya umafia basi ni huyu shetani kutoka kizimu-kaz.
 
Huu ndio ushenzi unao endelea.

View: https://www.youtube.com/watch?v=7lBHGyweD4g
 
Kuna mtu aliandika inawezekana ni vijana waliofanya vurugu ya mwendokasi magomeni jioni
 
Inauma sana!

Kama watoto Hawa mliona Wana Makosa, mngewafunga tu Jela, miaka 10, wakatoka wakiwa Raia Wema.

UNAMUUA MTOTO WA MIAKA 19, YAAN UNAKATISHA MAISHA YAKE YOTE,

Kwann msiwafunge jela ,

Kweli kabisa Kijana wa miaka 18 anayerekodi TikTok akiimba

Hivi hizo nyimbo tu linatosha Kuondoka Uhai wa Kijana Mdogo namna hiyo???.
 
Back
Top Bottom