Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Haha Ngunja si ipo TandahimbaUmenikumbusha neno Ngunja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha Ngunja si ipo TandahimbaUmenikumbusha neno Ngunja
[emoji23][emoji23]Namba 2 na 3 juzi nimetoka na gari huko utadhani nimelifukua ardhini, ile nafika mjini kuna mhuni nakuta nyuma kwenye kioo kumeandikwa( "msinioshe kuna balidi)[emoji3] nikibaki nacheka hafi nikapeleka car wash
Hivi CBD mnamaanishaga nini mkuu ? Kirefu chake msaadaTutajie barabara yoyote ya vumbi ndani ya Dodoma CBD
Central Business District... kwa lugha rahisi MJINI KATIHivi CBD mnamaanishaga nini mkuu ? Kirefu chake msaada
Asante sana mkuu , maana niliona uzi fulani wanashindanisha kati ya DODOMA CBD sijui na mkoa gani mwingine , nikawa sielewi elewiCentral Business District... kwa lugha rahisi MJINI KATI
Utakamatwa wewe ung'olewew kucha bila ganzi, shauri yako, unasema ukweli ambao serikali hautaki?
Karatu kwa vumbi pale kiboko na lilivyo jekundu hatari na nusuNimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
hapa nakazia dah mbinga nako hatari tena vumbi jekundu hatariOrodha bila Mbinga kuna ubadhirifu
Karatu haipingwi.Karatu kwa vumbi pale kiboko na lilivyo jekundu hatari na nusu
Orodha hii bila Nachingwea na Kongwa itakua ni batili piaOrodha hii bila Makambako ni batili
NakaziaYaani niliposoma kichwa cha habari nikawaza Karatu na ndio ya kwanza aloooo kule kuna powder ya vumbi yaani vumbi jepesiiii sio mchezo
Makambako yes, lakini kuna vumbi na vumbi linalokera. Kiukweli Karatu, Nachingwea na Kasulu zina vumbi linalokera. Makambako, Dodoma, Kahama, Arusha, Himo/ Holili na maeneo mengine yana vumbi kali lakini angalau ni himilivu.Niliposoma title mji wa kwanza kuja kichwani ni makambako
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kigongoni pale niliwahi kupita kuna vumbi la hatari, jua nalo linachoma kama pasi..uelekeo wa ile barabara ya loliondo ndo kabisaaaaMto wa mbu hatuna vumbi baya aisee. Umetuonea sana. Vumbi letu linafanana na rangi ya silva. Sio jekundu aisee
Tunduru kuna vumbi ila naona top 10 haiingiiBila kusahau Tunduru