Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Lile la Congo je?
 
DODOMA VUMBI SIO LA KICHAFUA NGUO NYEUPE
 
Hii orodha bila kutaja
Makete, mbulu , geita , lushoto , moduli, bahi , ni ubatili
 
Hii orodha bila kutaja
Makete, mbulu , geita , lushoto , moduli, bahi , ni ubatili
Kuna maeneo yana vumbi ila kwa kuwa ina miti mingi ya kukinga nimeona niiache. Kule Buhigwe kuna poda ya ukweli ila kwa kuwa kuna miti mingi huwa haitajwi sana. Kusingekuwa na mazingira kama yale basi ingekuwa balaa. Hata Moshi kuna udongo kama wa Karatu ila kutokana na uoto wa asili maeneo mengi yanaonekana hayana vumbi.
 
Karatu imekaa mahali pale kabisa, yet kuna kisehemu fulani cha mikoa ya arusha, manyara na k'njaro ina upepo usiovumilika, huwezi kuelewa mwa kusimuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…